Hakuna maandalizi yoyote; tunasubiri Elnino itikise tuanze kumsifu Mama!

Ulipotag na kusema sisi tufe ulikuwa unamaanisha nini? Mnacholalamikia CCM ndo mtafanya mara 10 yake.
Sasa kuna haja gani ya kuwachekea wauaji mlioua mamilioni ya watu MO29? Muuaji lazima naye afe.
 
Kwani Chivayo anasemaje kuhusu El nino mana ndo mshika rimoti allegedly
Chivayo aseme nini tena wakati wanyonya damu wapo kimya wanasubiri watu wafe mama yao atoe majeneza wamsifu?
 
Hata wanaotoa tahadhari ya El nino ni sehemu ya timu ya maandalizi.
Huko CDM mmejazana vilaza mnalishana matango pori
Tahadhari ipi mkuu? Kutunga sentensi kwa kutumia neno Elnino sio kinga dhidi ya Elnino mkuu. Hao wanafanya mzaha tu.
 
Tahadhari ipi mkuu? Kutunga sentensi kwa kutumia neno Elnino sio kinga dhidi ya Elnino mkuu. Hao wanafanya mzaha tu.
Huna cha maana unachotaka kijadilliwe endelea na matusi kama facebook
 
Huna cha maana unachotaka kijadilliwe endelea na matusi kama facebook
Matusi yapi mkuu? Tatizo hampendi kuambiwa ukweli sijui mkoje nyie watu.
 
Imetengwa bilioni mia saba
 
You're not well informed about this issue nyumbu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…