Hakuna maandalizi yoyote; tunasubiri Elnino itikise tuanze kumsifu Mama!

Machawa vitu vizuri vya mama yao ila vibaya vya wananchi.
 
Mtu kuwa mhalifu sio lazima atangazwe na mahakama mkuu. Matendo yako tu yanatosha kukueleza ni mtu wa aina gani.
Tunarudi palepale kwamba nyie mkipata nafasi ya kuongoza nchi hakutakuwa na utawala wa kisheria kabisa. Mtahukumu watu bila kufuata sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…