Hakuna maandamano haramu yatayokafanikiwa tena Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania.

Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu miundombinu, makazi au ofisi za umma, kumuumiza au kumuua mTanzania mwingine kwa niaba, faida au manufaa ya mchochezi au kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Kenya, Marekani au Ulaya huku akilishwa na kuvishwa na mabwenyenye yanayowafadhili yeye na familia yake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Leo ilikuwa zaidi ya maandamano, waandamanaji wamefanikiwa sana leo.
 
in fact,
vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, mamluki wao na chadema kwa ujumla wanao aibu mno hivi sasa gentleman🐒
 
Safi sana Gentleman!
Tupo hapa tunakula Whiskey na toto nzuri kabisa huku tunakula muziki ya country.. karibu sana Gentleman
 
stay safe and enjoy responsibly, okay gentleman?🐒
 
Kukua kiakili ni kuacha kuliita hili jinga mbunge , hakuna mbunge humo Bwashee🚮
I think that's completely not an issue to make anybody feel jealousy at all 🐒
 
calm down and reduce hot air gentleman 🐒
Screenshot_20260707-205840.png
 
Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania.

Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu miundombinu, makazi au ofisi za umma, kumuumiza au kumuua mTanzania mwingine kwa niaba, faida au manufaa ya mchochezi au kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Kenya, Marekani au Ulaya huku akilishwa na kuvishwa na mabwenyenye yanayowafadhili yeye na familia yake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nonsense 🚮
 
Hatupaswi kuishi kwa hofu mkuu hali hii hadi lini?
unamuogopa nani gentleman Tanzania?

hujui kwamba uoga wako ndio umaskini wako?

wewe ni muhalifu, right?🐒
 
Back
Top Bottom