Hakuna maandamano haramu yatayokafanikiwa tena Tanzania

Hakuna maandamano haramu yatayokafanikiwa tena Tanzania

Mimi nafurahia mpira bwashee hayo mambo ya umatumbi sijui

Maana hata leo watu wa hapa malawi wangetoa pua njee hapa umatumbini wangefurushwa pia Argentina huko mbali
naona wamatumbi mnapeana moyo 🐒
 
Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania.

Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu miundombinu, makazi au ofisi za umma, kumuumiza au kumuua mTanzania mwingine kwa niaba, faida au manufaa ya mchochezi au kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Kenya, Marekani au Ulaya huku akilishwa na kuvishwa na mabwenyenye yanayowafadhili yeye na familia yake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mch3ngerwa hujambo?
 
unamuogopa nani gentleman Tanzania?

hujui kwamba uoga wako ndio umaskini wako?

wewe ni muhalifu, right?🐒
Nchi imejaa mapolisi mabararani huko isivyo kawaida, maduka yamefungwa siku ya kazi mchana kweupe, sabasaba watu wachache isivyo kawaida. Hiyo ndio hofu ninayoizungumzia katika nchi ambayo ilikuwa ikijisifu kwa amani na utulivu.
 
sasa gentleman,
polisi anakuhusu nini wewe ikiwa sio muhalifu?

au mfanyabiashara anakuhusu nini wewe ikiwa sio mteja?

mind your business na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela na kubabaika na yasiyokuhusu.

si utachelewa kutoboa gentleman ikiwa wewe unadeal na mambo ya wengine badala ya kudeal na yako?🐒
 
Sijui hata unaongea utumbo masikini ya Mungu!

Hayo mambo yangu mimi ni yapi sasa ambayo hayawezi kuathiriwa na hali kama ya jana?
 
Sijui hata unaongea utumbo masikini ya Mungu!

Hayo mambo yangu mimi ni yapi sasa ambayo hayawezi kuathiriwa na hali kama ya jana?
ikiwa naeleza utumbo,
wewe kama muerevu inafaa kueleza maini bila mihemko gentleman na itapendeza zaidi.

kujipiga kifua na kudeal na kazi za wengine badala ya kudeal na mambo yako ni kitu useless sana.

Jana hali ilikua shwari maeneo yote,
mitaani maduka yalifunguliwa, sabasaba maonyesho ya kibaashara yaliendelea kama kawaida n.k

Gentleman,
uoga wako ndio umaskini wako, huna haja ya kusingizia jana au juzi 🐒
 
Back
Top Bottom