Hakuna maandamano haramu yatayokafanikiwa tena Tanzania

ikiwa naeleza utumbo,
wewe kama muerevu inafaa kueleza maini bila mihemko gentleman na itapendeza zaidi.

kujipiga kifua na kudeal na kazi za wengine badala ya kudeal na mambo yako ni kitu useless sana.

Jana hali ilikua shwari maeneo yote,
mitaani maduka yalifunguliwa, sabasaba maonyesho ya kibaashara yaliendelea kama kawaida n.k

Gentleman,
uoga wako ndio umaskini wako, huna haja ya kusingizia jana au juzi 🐒
Nafikiri huo ushauri wa kudeal na mambo yako ungekufaa wewe zaidi maana kutwa upo humu kutetea serikali na ccm ukiitwa chawa unalipwa unakataa, sasa kama sio chawa na haulipwi mbona unafanya kazi isiyo kuhusu badala ya kudeal na mambo yako maana serikali inawasemaji wake na ccm ina wasemaji wake.

Jana biashara nyingi zilifungwa hata huko sabasaba watu walikuwa wachache isivyo kawaida, hali ya usafiri ilikuwa shida. Ila wewe unakuja kusema ni deal na mambo yangu, sasa kama si utumbo unaongea ni nini?

Et hali ilikuwa shwari, ushwari ni watu kufanya shughuli zao kama kawaida na sio watu kuacha kufanya shughuli zao hasa za kujiingizia kipato kwa hofu halafu unakuja kusema hali shwari.
 
sina pesha kwenye taaluma nyangu 🤣

halafu gentleman,
why unajidanganya na ulichopotoshwa mitandaoni na kukifanya ndio maisha yako? 🤣
 
Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania.

Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu miundombinu, makazi au ofisi za umma, kumuumiza au kumuua mTanzania mwingine kwa niaba, faida au manufaa ya mchochezi au kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Kenya, Marekani au Ulaya huku akilishwa na kuvishwa na mabwenyenye yanayowafadhili yeye na familia yake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kina Mange wamekoseshwa agenda. Sasa wanatafuta cha kuripoti na mapichapicha ya kuombea posho kwa mabeberu
 
waTanzania waerevu mno hivi sasa,
hawadanganyiki kabsaa na agenda ovu za waliojificha ughaibuni 🐒
 
Gentleman,
sina pesha kwenye taaluma nyangu 🤣

halafu gentleman,
why unajidanganya na ulichopotoshwa mitandaoni na kukifanya ndio maisha yako? 🤣
Taaluma ipi mkuu hiyo ya kusemea serikali na ccm humu mitandaoni ndio taaluma yako hiyo? Nachojua serikali ina msemaje wake na ccm ina msemaje wake, sasa wewe mtu mzima pengine una familia ila kutwa upo mitandaoni kusemea serikali hali ya kuwa serikali inawasemaji wake inashangaza kwa kweli. Sijajua ni kukosa shughuli ya maana ya kufanya au ndio unajiingizia kipato kwa njia hiyo.
 
waTanzania waerevu mno hivi sasa,
hawadanganyiki kabsaa na agenda ovu za waliojificha ughaibuni 🐒
Waliyojificha ughaibuni wamefanya jeshi la polisi kutanda nchi nzima mabarabarani, haya si ajabu siku ya wakulima pia waliyojificha ughaibuni watawaingiza tena mapolisi mabarabarani ili kuzuia mapinduzi.
 
Taaluma ipi mkuu hiyo ya kusemea serikali na ccm humu mitandaoni ndio taaluma yako hiyo? Nachojua serikali ina msemaje wake na ccm ina msemaje wake, sasa wewe mtu mzima pengine una familia ila kutwa upo mitandaoni kusemea serikali hali ya kuwa serikali inawasemaji wake inashangaza kwa kweli. Sijajua ni kukosa shughuli ya maana ya kufanya au ndio unajiingizia kipato kwa njia hiyo.
Gentleman,
hata hiyo ya kujawa mihemko na makasiriko dhidi ya kila hoja mahususi iliyo tofauti na maoni au mtazamo wako ni taaluma pia gentleman 🤣

hayo mengine ni porojo tu ambayo nayo ni taaluma pia 🤣
 
Waliyojificha ughaibuni wamefanya jeshi la polisi kutanda nchi nzima mabarabarani, haya si ajabu siku ya wakulima pia waliyojificha ughaibuni watawaingiza tena mapolisi mabarabarani ili kuzuia mapinduzi.
Yes gentleman,
Jeshi la police kutanda nchi nzima ni wajibu wake, tena ni kwa mujibu wa sheria kabisa.
na litafanya hivyo bila kujali porojo za yeyote yule alieko ndani au nje ya nchi 🐒
 
Gentleman,
hata hiyo ya kujawa mihemko na makasiriko dhidi ya kila hoja mahususi iliyo tofauti na maoni au mtazamo wako ni taaluma pia gentleman 🤣

hayo mengine ni porojo tu ambayo nayo ni taaluma 🤣
Basi unapaswa kutafuta shughuli ya kufanya mkuu ili tunapokuwa tunaeleza mambo ya msingi humu uwe nawe unaelewa kinyume na hivyo kama utabaki kushinda mitandaoni na hiyo taaluma ya kukasirisha watu mitandaoni itakuwa ngumu kuelewana. Ndio maana tunaposema biashara kufungwa huelewi unajibu unasema hayanihusu, tafuta shughuli ya kufanya mkuu ya kukuungizia kipato.
 
Yes gentleman,
Jeshi la police kutanda nchi nzima ni wajibu wake, tena ni kwa mujibu wa sheria kabisa.
na litafanya hivyo bila kujali porojo za yeyote yule alieko ndani au nje ya nchi 🐒
Jeshi linatanda nchi nzima kwa porojo za watu waliyo ughaibuni huko, sasa hii ni serikali au kituko?
 
Basi unapaswa kutafuta shughuli ya kufanya mkuu ili tunapokuwa tunaeleza mambo ya msingi humu uwe nawe unaelewa kinyume na hivyo kama utabaki kushinda mitandaoni na hiyo taaluma ya kukasirisha watu mitandaoni itakuwa ngumu kuelewana. Ndio maana tunaposema biashara kufungwa huelewi unajibu unasema hayanihusu, tafuta shughuli ya kufanya mkuu ya kukuungizia kipato.
sasa gentleman,
ikiwa una shughuli ya kufanya na inakupa amani,

kulikoni kunifutilia na kunilalamikia kwamba kwa mihemko, na kwamba sina shughuli ya kufanya hali ya kua tupo pamoja online jf?🤣
 
Suala hapa hata sio kuwa online bali huko kuona unachokifanya humu ni taaluma yako, kwahiyo hata ungekuwa barabarani unapoteza muda kutetea na kusemea serikali na ccm pia ningekwambia kuwa utafute shughuli ya kufanya kwa sababu serikali na ccm zina wasemaji wake na wanalipwa kwa hiyo kazi.

Sasa wewe kwa kukosa shughuli ya kufanya ndio maana hauoni athari kwa biashara kufungwa wala kukosekana usafiri kwa sababu kutwa upo online kutetea ccm na serikali yake mwenyewe unaita ndio taaluma yako.
 
Back
Top Bottom