Habari zenu wakuu.
Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo.
Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya kweli, yasiyoambatana na usaliti Kwa wenzi wanaoishi mbalimbali....Yani we uko Kigoma, baby wako Yuko Tandahimba halafu ujipe Moyo hawakusaidiii....never.....labda huko aliko kusiwe na wanawake au wanaume.
Najua ukweli Una tabia ya kuchoma, inauma, Ila huo ndo ukweli.......utasaidiwa tuuu, utake usitake! Kama ni mke utachapiwa, Kama ni mume utabebewa.......kuishi pamoja kunapunguza frequency za kusalitiana....!
Kuna wataosema ooh wanawake waliotulia wapo, watavumiliaa mume akae hata mwaka ......nawacheck afu nasema hiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣.