Hakuna mapenzi au ndoa kwa wenzi wanaoishi mbalimbali

Hakuna mapenzi au ndoa kwa wenzi wanaoishi mbalimbali

Mapenzi ya mbali yanatesa.usaliti hauepukiki

Ni wachache mno………
Narudia tena ni wachache mno…………………………………..ni wachache mno wanaweza kuyashinda majaribu ya anko devo
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌👏👏👏👏👏👏👏
 
Habari zenu wakuu.

Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo.

Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya kweli, yasiyoambatana na usaliti Kwa wenzi wanaoishi mbalimbali....Yani we uko Kigoma, baby wako Yuko Tandahimba halafu ujipe Moyo hawakusaidiii....never.....labda huko aliko kusiwe na wanawake au wanaume....

Najua ukweli Una tabia ya kuchoma, inauma, Ila huo ndo ukweli.......utasaidiwa tuuu, utake usitake! Kama ni mke utachapiwa, Kama ni mume utabebewa.......kuishi pamoja kunapunguza frequency za kusalitiana....!

Kuna wataosema ooh wanawake waliotulia wapo, watavumiliaa mume akae hata mwaka ......nawacheck afu nasema hiiiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Najua ukweli Una tabia ya kuchoma, inauma, Ila huo ndo ukweli.......utasaidiwa tuuu, utake usitake! Kama ni mke utachapiwa, Kama ni mume utabebewa.......kuishi pamoja kunapunguza frequency za kusalitiana....![emoji1545]
 
Yanakuwa na changamoto sana.
Mimi naomba sana Mungu nikipata mume tuishi pamoja yale mambo ya mimi nipo sijui kigoma mume yupo Kilimanjaro hapana kwa kweli.
Kwanza kuna vitu hamuwesi kuweka sawa kimaisha.
Mfano kipindi hiki na hili baridi unapigwa nalo kisawasawa na umeolewa sasa Kuna faida gani wakati ilitakiwa usiku una sehemu ya kupata pumziko kwa style hii lazima mtu ateleze tu siku moja hata ajikaze.Tena afadhali sie kuliko wanaume.
Hahahahah unajikuta umeliwa na muhuni na ndio mwanzo wa mpasuko, siku zote bana mtoto wa kike akianza kutiwa nje tayari amemualika shetani sebleni. Mambo hayawezi kuendelea kuwa sawa
 
H
Habari zenu wakuu.

Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo.

Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya kweli, yasiyoambatana na usaliti Kwa wenzi wanaoishi mbalimbali....Yani we uko Kigoma, baby wako Yuko Tandahimba halafu ujipe Moyo hawakusaidiii....never.....labda huko aliko kusiwe na wanawake au wanaume.

Najua ukweli Una tabia ya kuchoma, inauma, Ila huo ndo ukweli.......utasaidiwa tuuu, utake usitake! Kama ni mke utachapiwa, Kama ni mume utabebewa.......kuishi pamoja kunapunguza frequency za kusalitiana....!

Kuna wataosema ooh wanawake waliotulia wapo, watavumiliaa mume akae hata mwaka ......nawacheck afu nasema hiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣.
Hili nilishalikataa, mwanamke yuko Dodoma kidume uko dsm, hilo halikubaliki na ndio mwisho utashangaa ushatiwa Ukimwi.
 
Hakuna Tatizo Muhimu Taifa Liendelee Mbele
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu, Kuchepuka Sawa Sawa Wote Wapate
Inaitwa Win Win Situation!!!
 
Yanakuwa na changamoto sana.
Mimi naomba sana Mungu nikipata mume tuishi pamoja yale mambo ya mimi nipo sijui kigoma mume yupo Kilimanjaro hapana kwa kweli.
Kwanza kuna vitu hamuwesi kuweka sawa kimaisha.
Mfano kipindi hiki na hili baridi unapigwa nalo kisawasawa na umeolewa sasa Kuna faida gani wakati ilitakiwa usiku una sehemu ya kupata pumziko kwa style hii lazima mtu ateleze tu siku moja hata ajikaze.Tena afadhali sie kuliko wanaume.
Tatizo sie wazazi wa watoto wa kike hatutaki watoto wetu waolewe wakaa kama golikipa maana tumewekeza hela nyingi kuwasomesha wanetu
 
Mpaka ukarudi unaikuta imepigwa na mabaharia imekuwa lapulapu mashavu utafikiri mapupu 😬😬😬
🤣🤣🤣 Na mwanaume ndo wanamnyonya kila kituuu, kuanzia pesa Hadi nguvu za kiume.......mke ukirudi unamkuta kimoja chalii, wanakuachia kitambi tuu🤣
 
Mkuu kwani umesaidiwa nini???manake umeandika kwa hisia kali sana
Mkuu Acha tu, nishapigwa tukio...Ila nikajisemea labda Kwa vile huu umbali mwenzangu kashindwa kushindana na nyeee....

Kinachoniuma ni mtu wangu wa karibu, yeye haishi na my wife wake, Ila kila weekend anaenda kwake, huku na huku wamemchapia bwana....afu mke mwenyewe wa kawaida sana. Yani Bora angeoa chura angejua moja, kaoa tabia na bado kachapiwa.
 
So tukio sio lako?. Balaa tupu
 
Ukipingukiwa na utukufu wa Mungu utawaza hayo na utatenda ila malipo ni hapa hapa
 
Back
Top Bottom