Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Polee kipenzi...Naelewa vizurii!Yalinikuta mamii najutaa hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polee kipenzi...Naelewa vizurii!Yalinikuta mamii najutaa hapa.
Ahsante dear, nishapoa.Polee kipenzi...Naelewa vizurii!
Aisee kwa taarifa yako wazungu ndo hawafahai kabisa, mimi ninafanya kazi mahali kuna wazungu wa nchi mbalimbali wanabebana mno, bora wa swahili wanajificha ficha, wazungu ni nyoko msikariri mamboLong distance relationships tuwaachie wazungu. Kwetu sisi ni kupotezeana muda tu. Hata ufanyeje utachapiwa tu! Utadanganywa danganywa ili uendelee kutuma pesa lakini hakuna kitu majamaa yanamhondomola tu demu wako. Halafu jamaa wanaokuchapia wanaweza hata kuja kukurushia vijembe laivu na hakuna kitu utafanya 🚮🚮🚮🚮
#Kambayambalihaiuinyoka
#Asiyekuweponalakehalipo
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Ndugu hata Mimi wazazi wangu wamenisomesha na hawapendi kabisa niwe golikipa.Tatizo sie wazazi wa watoto wa kike hatutaki watoto wetu waolewe wakaa kama golikipa maana tumewekeza hela nyingi kuwasomesha wanetu
Shida ipo maana kwa maishanya sas kama mke nae kasoma atatataka kuwa kazinj na hivyo basi kuna mida mtaishi mbali mbali. Huwezi kumwambia mke eti acha kazinunifuate mimi. Hilo ni suala gumu sana.Ndugu hata Mimi wazazi wangu wamenisomesha na hawapendi kabisa niwe golikipa.
Nimeona kwa wazazi wangu na wala hakukuwa na migongano na tulilewa vizuri tu.
Mama yangu mpaka leo anatusisitiza tufanye kazi yeyote yakukuingizia kipato hata kama mume ataweza kukuhudumia ila usikubali kumtegemea.
Nadhani hili la kufanya kazi halina tatizo shida ni malezi umewaleaje wanao.
Je ulikuwamfano mzuri au ndio ulikuwa majanga katika ndoa Mana mtoto wa nyoka ni nyoka.
Kama mama hakuwa na adabu wala kumuheshimu mume au kuheshimiana kwenye ndoa watoto watafanya hivohivo mana ndio umewalea hivo.
Lakini sii de libolo utamu upo pale pale ukija ichezea so hutakiwi kumind vitu vidogo hivyoWatu wanakuibia hadi karibia waondoke nayo yani...hadi sio poa