hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Nakazia mfumgulie PM , kwa hii post kama umefika Hadi Leo Nina imani ukiwasikiliza wengine ambao wamekata tamaa utakuwa msaada kwao, ,,,,,. Kuwa kama Oprah Winfrey,,,,,, ana hadithi mbaya sana nyuma ila amekuwa msaada kwa wadada wengiKaka Habar za Leo, nina shida na ww sana nakuomba PM, maana umefunga PM yako. It is too serious Bro