Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Ndivyo inavyotakiwa, nilitamani kufahamu tatizo lilikuwa wapi ila naona nitakukumbusha na kukuletea maumivu.
next time mkuu, I had a bitter a piece of cake kwa wakati ule.
Ilaa most of these shit, ni deep so Nisha malizana nazo.
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.

Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf.

Ila kiufupi nahisi Safari yangu ya maisha imekaribia mwisho, siwezi tena kuendelea. Nimejaribu na imeshindikana. Zaidi ya kuendelea kupata maumivu na kuendelea kupoteza muda.

Ni bora ningekuwa mvuta bangi,mlevi au hata mzinzi labda ningejaribu kusingizia labda kilichonipata kimesababishwa na hayo ila it's big nooop.

Nilijaribu kuishi maisha yangu katika misingi taratibu, sheria na imani yangu ila ilikuwa ni sawa na bureeee. Mpaka muda mwingine nahisi naota labda huenda nitaamka nipingane na ukwelii but still nakutana na hali ile ile.

Lakini Kama wasemavyo wenye dini zao- kuwa kila kitu kilishapangwa. Basi nami Sina jipya tena chini ya juaa, kwasababu nauona mwisho wanguuu.

Nimejaribu kupingana nao ila still ni ngumu, ni Kama gari lililokosa engine, baiskeli bila mnyororo, mwili bila kichwa.

Sijui wamenifanya nini au wamecheza mchezo gani ila ndugu zangu kiukweli nimechokaaa sanaa.

Kwasababu binadamu huezi ishi bila mipango,uamuzi toka ndani ya roho, kipawa cha Cha kujua unaishi kwa nini??.

Ni Kama vyote wamevisimamisha, hakuna kufikirii,hata kutambua mi ni nani?? Imekuwa ngumuu.- nilipata nafuu mara 1 ila it's nothing. Sio amnesia(kupoteza kumbukumbu).

Ila kiufupi Kama nitapata bahati ya kurudi na kuwajua basi nitadai roho yangu, haki yangu ya kuishii, Sina jinsiii

Ni Kama kuujua mwisho wa maisha yako, huku ukitambua hakuna njia ya kuchomoka. F**ck mee.

Samahani kwa wote nitakaowakwaza, niliowaudhi na labda kuwakeraa aidha kutokana na utani wangu,mawazo yangu hasi au hasira zangu. Peace to you all ladies and gentlemens.

Nawaaga Kama tutapata bahati ya kukutana, Basi nitaomba tuwe hivi hivi upendo,amani na mitafaruku vilinijengaa na kunifunza mengi.

Nakumbuka remmy ongala aliimba kifooo kifooo kifoo hakina huruma.

Ila salute and respect to you guys tumekuwa zaidi ya familiaaa
Mwachiluwi, , talented writer [USER=201171]Analyse, Mr kenice billionaire Bill Lugano, Cha ukorofiii Lovelovie sister mawigi Antonnia BM X6 pure, charismatic fella GENTAMYCINE, mwana hip hop Scars, makaveli10 mtaalamu aliyejaribu kuunganisha timu ya wanaharakati Mshana Jr Korean series lovers Numbisa Khantwe @satosh hirosh mwanaharakati wa hovyo mpwayungu village, fungeni ndoa Chizi Maarifa na trudie Bantu Lady, macho makubwa Dahan business expert CONTROLA I wish tungefanya jamboo, intelligent Da'Vinci wazee wa mizagamuano National Anthem & Mzee wa kupambania Bujibuji Simba Nyamaume jasusi Carlos The Jackal and so many others👉 my bow favorite song 👉see you again by wiz khalifaa

till next life, Kama ntapata chanceeee

Still alive, but dead inside
Watu tumeumbwa wengi duniani ili tusaidiane mawazo ungesema shida yako Mzee wangu
 
Afya ya akili ni janga jipya ambalo AFRICA hatulitolei macho.
Life limekuwa gumu watu wamekosa tumain kabisa kujiua sio big deal
 
Afya ya akili ni janga jipya ambalo AFRICA hatulitolei macho.
Life limekuwa gumu watu wamekosa tumain kabisa kujiua sio big deal
Na shida sio life mkuu, nilicho fanya Hadi umri huu ni ndoto kwa vijana hata watu wazima pia.
 
Tutaonana Tena Yani Tutaoonana Tena ×4
Safari Uimaliza Salama Bwana ametwaa bai rafiki....🎼🎼🎼
 
hahaha, Sina Sina na sija wahi kuwa nayo, beside I managed to pass through that shit.

Na Mwaka Jana ndo mda Nili safiri humu tz, kuliko mda wote nilio wahi ishi.
Karibu sweet food tupate soup ya samaki.
Kaka Habar za Leo, nina shida na ww sana nakuomba PM, maana umefunga PM yako. It is too serious Bro.
 
Back
Top Bottom