Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Mungu atakuvusha katika kipindi kigumu unachopitia haijalishi ni magumu gani lakini ukiwa na moyo wa kuamini daima kuna njia. Giza likizidi sana kunakaribia kupambazuka mkuu kaza moyo nina imani michango ya members huku itakuwa imekusaidia na kukupa moyo.

Mimi trudie na kipenzi Chizi Maarifa ambae kanitoroka mwezi mzima sasa sijui alipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunakuombea afueni na pia naamini tutazidi kuwa pamoja humu kwa kipindi kirefu sana. Na akirudi tuu tujitahidi asiende kwenye kampeni ya Kataa ndoa.
Ghafla umenifanya nicheke hovyo, sema
Mfahamiane trudie you never know what might happen btn you and Mr chizi
 
Yalikukuta nini!!? Kiongozi! Pole sana, siku nyingine usitume kwanza nauli sawa
JamiiForums-542945312.jpg
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.

Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf.

Ila kiufupi nahisi Safari yangu ya maisha imekaribia mwisho, siwezi tena kuendelea. Nimejaribu na imeshindikana. Zaidi ya kuendelea kupata maumivu na kuendelea kupoteza muda.

Ni bora ningekuwa mvuta bangi,mlevi au hata mzinzi labda ningejaribu kusingizia labda kilichonipata kimesababishwa na hayo ila it's big nooop.

Nilijaribu kuishi maisha yangu katika misingi taratibu, sheria na imani yangu ila ilikuwa ni sawa na bureeee. Mpaka muda mwingine nahisi naota labda huenda nitaamka nipingane na ukwelii but still nakutana na hali ile ile.

Lakini Kama wasemavyo wenye dini zao- kuwa kila kitu kilishapangwa. Basi nami Sina jipya tena chini ya juaa, kwasababu nauona mwisho wanguuu.

Nimejaribu kupingana nao ila still ni ngumu, ni Kama gari lililokosa engine, baiskeli bila mnyororo, mwili bila kichwa.

Sijui wamenifanya nini au wamecheza mchezo gani ila ndugu zangu kiukweli nimechokaaa sanaa.

Kwasababu binadamu huezi ishi bila mipango,uamuzi toka ndani ya roho, kipawa cha Cha kujua unaishi kwa nini??.

Ni Kama vyote wamevisimamisha, hakuna kufikirii,hata kutambua mi ni nani?? Imekuwa ngumuu.- nilipata nafuu mara 1 ila it's nothing. Sio amnesia(kupoteza kumbukumbu).

Ila kiufupi Kama nitapata bahati ya kurudi na kuwajua basi nitadai roho yangu, haki yangu ya kuishii, Sina jinsiii

Ni Kama kuujua mwisho wa maisha yako, huku ukitambua hakuna njia ya kuchomoka. F**ck mee.

Samahani kwa wote nitakaowakwaza, niliowaudhi na labda kuwakeraa aidha kutokana na utani wangu,mawazo yangu hasi au hasira zangu. Peace to you all ladies and gentlemens.

Nawaaga Kama tutapata bahati ya kukutana, Basi nitaomba tuwe hivi hivi upendo,amani na mitafaruku vilinijengaa na kunifunza mengi.

Nakumbuka remmy ongala aliimba kifooo kifooo kifoo hakina huruma.

Ila salute and respect to you guys tumekuwa zaidi ya familiaaa
Mwachiluwi, , talented writer [USER=201171]Analyse, Mr kenice billionaire Bill Lugano, Cha ukorofiii Lovelovie sister mawigi Antonnia BM X6 pure, charismatic fella GENTAMYCINE, mwana hip hop Scars, makaveli10 mtaalamu aliyejaribu kuunganisha timu ya wanaharakati Mshana Jr Korean series lovers Numbisa Khantwe @satosh hirosh mwanaharakati wa hovyo mpwayungu village, fungeni ndoa Chizi Maarifa na trudie Bantu Lady, macho makubwa Dahan business expert CONTROLA I wish tungefanya jamboo, intelligent Da'Vinci wazee wa mizagamuano National Anthem & Mzee wa kupambania Bujibuji Simba Nyamaume jasusi Carlos The Jackal and so many others[emoji117] my bow favorite song [emoji117]see you again by wiz khalifaa

till next life, Kama ntapata chanceeee

Still alive, but dead inside
Umefanya makosa makubwa sana kutokuni tag, nakuhakikishia utajutia sana kwa kitendo hicho.
 
Mshikaji wangu jana tumeongea mengi sana ila na amini utanyanyuka na utakuwa hai utokufa na tutaendelea tulipo
Ishia kamwe usiruhusu huzuni ikutawale kichwani kiasi kwamba ujione una maana tena kumbuka maneno yangu

Usilie mbele ya adui kamwe see you letter
Sikuuona huu uzi .
But Intelligent businessman sio wewe ulikuwa unanifuata sio PM sio kwenye komenti kwa matusi ya utani ati wewe bwege acha pombe unaidharirisha familia yako ?

Sio wewe uliniambia kabla ya jumanne utakuwa ushanitumia dawa ya kuacha pombe ?

Sio wewe umeniambia nitajiua kabla ya wakati nikiendekeza pombe na starehe?

Come on Nigga ni kipi kikubwa duniani mpaka kujiona weye si chochote mdogo wangu ?

Rudi nyuma , tizama upya waza upya njoo tena PM mimi nizungumze na wewe nitakusaidia kwa lolote na chochote ikiwa bado uko hai .

Usifanye lolote kumbuka utaondoka na deni langu mdogo wangu , Kumbuka uliniahidi nini na mpaka sasa bado haujafanya achana na mawazo hayo njoo tuzungumze mdogo wangu.
 
Maisha hayanaga Guarantee. Kuna Kupata na kukosa.
Raha inatoka ndani mwake sio nje.
Shukuru na appreciate ukifanyacho na ukipatacho.
Usiwe na tamaa na vitu vya wengine.
Simplify na neutralize Maisha yako yawe simple kadiri ya uwezavyo.

Usikubali kuwa mtumwa wa Maisha au MTU yeyote.
Mke akikusumbua fukuza,
Dini ikikusumbua Achana nayo,
Maisha yanakuwa ghali tafuta Maisha rahisi.
Kiutu uzima zaidi. Uraaaa
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.

Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf.

Ila kiufupi nahisi Safari yangu ya maisha imekaribia mwisho, siwezi tena kuendelea. Nimejaribu na imeshindikana. Zaidi ya kuendelea kupata maumivu na kuendelea kupoteza muda.

Ni bora ningekuwa mvuta bangi,mlevi au hata mzinzi labda ningejaribu kusingizia labda kilichonipata kimesababishwa na hayo ila it's big nooop.

Nilijaribu kuishi maisha yangu katika misingi taratibu, sheria na imani yangu ila ilikuwa ni sawa na bureeee. Mpaka muda mwingine nahisi naota labda huenda nitaamka nipingane na ukwelii but still nakutana na hali ile ile.

Lakini Kama wasemavyo wenye dini zao- kuwa kila kitu kilishapangwa. Basi nami Sina jipya tena chini ya juaa, kwasababu nauona mwisho wanguuu.

Nimejaribu kupingana nao ila still ni ngumu, ni Kama gari lililokosa engine, baiskeli bila mnyororo, mwili bila kichwa.

Sijui wamenifanya nini au wamecheza mchezo gani ila ndugu zangu kiukweli nimechokaaa sanaa.

Kwasababu binadamu huezi ishi bila mipango,uamuzi toka ndani ya roho, kipawa cha Cha kujua unaishi kwa nini??.

Ni Kama vyote wamevisimamisha, hakuna kufikirii,hata kutambua mi ni nani?? Imekuwa ngumuu.- nilipata nafuu mara 1 ila it's nothing. Sio amnesia(kupoteza kumbukumbu).

Ila kiufupi Kama nitapata bahati ya kurudi na kuwajua basi nitadai roho yangu, haki yangu ya kuishii, Sina jinsiii

Ni Kama kuujua mwisho wa maisha yako, huku ukitambua hakuna njia ya kuchomoka. F**ck mee.

Samahani kwa wote nitakaowakwaza, niliowaudhi na labda kuwakeraa aidha kutokana na utani wangu,mawazo yangu hasi au hasira zangu. Peace to you all ladies and gentlemens.

Nawaaga Kama tutapata bahati ya kukutana, Basi nitaomba tuwe hivi hivi upendo,amani na mitafaruku vilinijengaa na kunifunza mengi.

Nakumbuka remmy ongala aliimba kifooo kifooo kifoo hakina huruma.

Ila salute and respect to you guys tumekuwa zaidi ya familiaaa
Mwachiluwi, , talented writer [USER=201171]Analyse, Mr kenice billionaire Bill Lugano, Cha ukorofiii Lovelovie sister mawigi Antonnia BM X6 pure, charismatic fella GENTAMYCINE, mwana hip hop Scars, makaveli10 mtaalamu aliyejaribu kuunganisha timu ya wanaharakati Mshana Jr Korean series lovers Numbisa Khantwe @satosh hirosh mwanaharakati wa hovyo mpwayungu village, fungeni ndoa Chizi Maarifa na trudie Bantu Lady, macho makubwa Dahan business expert CONTROLA I wish tungefanya jamboo, intelligent Da'Vinci wazee wa mizagamuano National Anthem & Mzee wa kupambania Bujibuji Simba Nyamaume jasusi Carlos The Jackal and so many others[emoji117] my bow favorite song [emoji117]see you again by wiz khalifaa

till next life, Kama ntapata chanceeee

Still alive, but dead inside
 
bangi zkuvuta mchana ni mbaya sna kwakwelii hawa nado wanafnya serikali izuie bangiiiii[emoji2962][emoji2962]
 
Sikuuona huu uzi .
But Intelligent businessman sio wewe ulikuwa unanifuata sio PM sio kwenye komenti kwa matusi ya utani ati wewe bwege acha pombe unaidharirisha familia yako ?

Sio wewe uliniambia kabla ya jumanne utakuwa ushanitumia dawa ya kuacha pombe ?

Sio wewe umeniambia nitajiua kabla ya wakati nikiendekeza pombe na starehe?

Come on Nigga ni kipi kikubwa duniani mpaka kujiona weye si chochote mdogo wangu ?

Rudi nyuma , tizama upya waza upya njoo tena PM mimi nizungumze na wewe nitakusaidia kwa lolote na chochote ikiwa bado uko hai .

Usifanye lolote kumbuka utaondoka na deni langu mdogo wangu , Kumbuka uliniahidi nini na mpaka sasa bado haujafanya achana na mawazo hayo njoo tuzungumze mdogo wangu.
I appreciate you bro🙏🙏
 
How did you survive in this situation...?? share story mkuu i guess kuna ambao wanapitia issue kama hiyo uliyopitia mwezi Feb ...... anzisha thread mkuu nadhani itasaidia wengi.
 
Life had to go on, nime jifunza mengi na nime elewa mengi pia🙏🙏.
👉Wanao nijua personal, Wana Elewa NILIVYO kuwa
 
Back
Top Bottom