Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Kaka Habar za Leo, nina shida na ww sana nakuomba PM, maana umefunga PM yako. It is too serious Bro
Nakazia mfumgulie PM , kwa hii post kama umefika Hadi Leo Nina imani ukiwasikiliza wengine ambao wamekata tamaa utakuwa msaada kwao, ,,,,,. Kuwa kama Oprah Winfrey,,,,,, ana hadithi mbaya sana nyuma ila amekuwa msaada kwa wadada wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…