Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Pole,ila kwani we huwezi kulia [emoji848]???,jifiche huko ndani lia saaaana ,lia kwelikweli ..uchungu ukiisha tafuta mmoja kati ya marafiki ulowataja hapo alaf toa hizo sumu ,hakuna asiyepitia matatizo ,ila kuna namna tunapunguza maumivu na kusonga mbele .Usisahau maombi ni Muhimu, sema neno tu ili hiyo roho ya mauti ikutoke .Alaf usikate tamaa ID Yako haifanani na mtu anayeweza kukata tamaa
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.

Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf.

Ila kiufupi nahisi Safari yangu ya maisha imekaribia mwisho, siwezi tena kuendelea. Nimejaribu na imeshindikana. Zaidi ya kuendelea kupata maumivu na kuendelea kupoteza muda.

Ni bora ningekuwa mvuta bangi,mlevi au hata mzinzi labda ningejaribu kusingizia labda kilichonipata kimesababishwa na hayo ila it's big nooop.

Nilijaribu kuishi maisha yangu katika misingi taratibu, sheria na imani yangu ila ilikuwa ni sawa na bureeee. Mpaka muda mwingine nahisi naota labda huenda nitaamka nipingane na ukwelii but still nakutana na hali ile ile.

Lakini Kama wasemavyo wenye dini zao- kuwa kila kitu kilishapangwa. Basi nami Sina jipya tena chini ya juaa, kwasababu nauona mwisho wanguuu.

Nimejaribu kupingana nao ila still ni ngumu, ni Kama gari lililokosa engine, baiskeli bila mnyororo, mwili bila kichwa.

Sijui wamenifanya nini au wamecheza mchezo gani ila ndugu zangu kiukweli nimechokaaa sanaa.

Kwasababu binadamu huezi ishi bila mipango,uamuzi toka ndani ya roho, kipawa cha Cha kujua unaishi kwa nini??.

Ni Kama vyote wamevisimamisha, hakuna kufikirii,hata kutambua mi ni nani?? Imekuwa ngumuu.- nilipata nafuu mara 1 ila it's nothing. Sio amnesia(kupoteza kumbukumbu).

Ila kiufupi Kama nitapata bahati ya kurudi na kuwajua basi nitadai roho yangu, haki yangu ya kuishii, Sina jinsiii

Ni Kama kuujua mwisho wa maisha yako, huku ukitambua hakuna njia ya kuchomoka. F**ck mee.

Samahani kwa wote nitakaowakwaza, niliowaudhi na labda kuwakeraa aidha kutokana na utani wangu,mawazo yangu hasi au hasira zangu. Peace to you all ladies and gentlemens.

Nawaaga Kama tutapata bahati ya kukutana, Basi nitaomba tuwe hivi hivi upendo,amani na mitafaruku vilinijengaa na kunifunza mengi.

Nakumbuka remmy ongala aliimba kifooo kifooo kifoo hakina huruma.

Ila salute and respect to you guys tumekuwa zaidi ya familiaaa
Mwachiluwi, Madame S, talented writer Analyse, Mr kenice billionaire Bill Lugano, Cha ukorofiii Lovelovie sister mawigi Antonnia BM X6 pure, charismatic fella GENTAMYCINE, mwana hip hop Scars, makaveli10 mtaalamu aliyejaribu kuunganisha timu ya wanaharakati Mshana Jr Korean series lovers Numbisa Khantwe @satosh hirosh mwanaharakati wa hovyo mpwayungu village, fungeni ndoa Chizi Maarifa na trudie Bantu Lady, macho makubwa Dahan business expert CONTROLA I wish tungefanya jamboo, intelligent Da'Vinci wazee wa mizagamuano National Anthem & Mzee wa kupambania Bujibuji Simba Nyamaume jasusi Carlos The Jackal and so many others[emoji117] my bow favorite song [emoji117]see you again by wiz khalifaa

till next life, Kama ntapata chanceeee
Don't give up! For in the darkest moment of difficulties there is a twinkle of light to lead you through
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.

Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf.

Ila kiufupi nahisi Safari yangu ya maisha imekaribia mwisho, siwezi tena kuendelea. Nimejaribu na imeshindikana. Zaidi ya kuendelea kupata maumivu na kuendelea kupoteza muda.

Ni bora ningekuwa mvuta bangi,mlevi au hata mzinzi labda ningejaribu kusingizia labda kilichonipata kimesababishwa na hayo ila it's big nooop.

Nilijaribu kuishi maisha yangu katika misingi taratibu, sheria na imani yangu ila ilikuwa ni sawa na bureeee. Mpaka muda mwingine nahisi naota labda huenda nitaamka nipingane na ukwelii but still nakutana na hali ile ile.

Lakini Kama wasemavyo wenye dini zao- kuwa kila kitu kilishapangwa. Basi nami Sina jipya tena chini ya juaa, kwasababu nauona mwisho wanguuu.

Nimejaribu kupingana nao ila still ni ngumu, ni Kama gari lililokosa engine, baiskeli bila mnyororo, mwili bila kichwa.

Sijui wamenifanya nini au wamecheza mchezo gani ila ndugu zangu kiukweli nimechokaaa sanaa.

Kwasababu binadamu huezi ishi bila mipango,uamuzi toka ndani ya roho, kipawa cha Cha kujua unaishi kwa nini??.

Ni Kama vyote wamevisimamisha, hakuna kufikirii,hata kutambua mi ni nani?? Imekuwa ngumuu.- nilipata nafuu mara 1 ila it's nothing. Sio amnesia(kupoteza kumbukumbu).

Ila kiufupi Kama nitapata bahati ya kurudi na kuwajua basi nitadai roho yangu, haki yangu ya kuishii, Sina jinsiii

Ni Kama kuujua mwisho wa maisha yako, huku ukitambua hakuna njia ya kuchomoka. F**ck mee.

Samahani kwa wote nitakaowakwaza, niliowaudhi na labda kuwakeraa aidha kutokana na utani wangu,mawazo yangu hasi au hasira zangu. Peace to you all ladies and gentlemens.

Nawaaga Kama tutapata bahati ya kukutana, Basi nitaomba tuwe hivi hivi upendo,amani na mitafaruku vilinijengaa na kunifunza mengi.

Nakumbuka remmy ongala aliimba kifooo kifooo kifoo hakina huruma.

Ila salute and respect to you guys tumekuwa zaidi ya familiaaa
Mwachiluwi, Madame S, talented writer Analyse, Mr kenice billionaire Bill Lugano, Cha ukorofiii Lovelovie sister mawigi Antonnia BM X6 pure, charismatic fella GENTAMYCINE, mwana hip hop Scars, makaveli10 mtaalamu aliyejaribu kuunganisha timu ya wanaharakati Mshana Jr Korean series lovers Numbisa Khantwe @satosh hirosh mwanaharakati wa hovyo mpwayungu village, fungeni ndoa Chizi Maarifa na trudie Bantu Lady, macho makubwa Dahan business expert CONTROLA I wish tungefanya jamboo, intelligent Da'Vinci wazee wa mizagamuano National Anthem & Mzee wa kupambania Bujibuji Simba Nyamaume jasusi Carlos The Jackal and so many others👉 my bow favorite song 👉see you again by wiz khalifaa

till next life, Kama ntapata chanceeee
Sent 4:27a.m.. Depression? Medical condition? Nimetamani nijue sababu, kama ni terminal stage illness hatuwezi fanya jambo, kama ni depression tunaiweza 💯
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.
Mkuu Intelligent businessman, kwanza ni kweli hakuna marefu yasiyo na ncha na kila lenye mwanzo pia linamwisho, ila ukiisha jiita jina fulani, lazima uliishi hilo jina!, haiwezekani mtu ujiite intelligent so and so hivyo tunakuona kama ni mtu mwenye akili kumbe ni lijitu lijinga linakata tamaa kijinga na kutaka kujiua kwa sababu za kijinga eti kwasababu tuu halijatoboa hapa duniani hivyo linadhani likijiua ndio litapumzika!, kumbe halijui kuwa kujiua ni dhambi, likijiua linakwenda straight motoni!, kule lenyewe ndio litafanywa kuni!. Jitu la hivi ni li intelligent gani limeniharibia siku yangu ya wapendanao!.
Ila kiufupi nahisi Safari yangu ya maisha imekaribia mwisho,
Usiishi kwa hisia na usikate tamaa!.
siwezi tena kuendelea. Nimejaribu na imeshindikana.
ukijitegemea wewe mwenyewe ni kweli huwezi tena kuendelea, lakini ukimtegemea YEYE YULE AWAYE YOTE ALIYEKULETA HUMU DUNIANI AMBAYE NI ALFA NA OMEGA, utayaweza tote katika YEYE!.
Zaidi ya kuendelea kupata maumivu na kuendelea kupoteza muda.
Kwa hayo unayopitia, kama unadhani ni maumivu, na unapoteza muda hivyo unaona bora ufe, amini nakuambia ukijiua maumivu utakayokutana nayo huko motoni, utajuta kujiua!. Kule utafanywa kuni, na moto ule ni ziwa la moto wa milele!.
Lakini Kama wasemavyo wenye dini zao- kuwa kila kitu kilishapangwa. Basi nami Sina jipya tena chini ya juaa, kwasababu nauona mwisho wanguuu.
Kama ni umeonyeshwa, it's fine, maana kila kitu kimepangwa, yaani wewe ulipangiwa ujiue, then hatuwezi kupangua, nakushauri, usijinyonge maana utakufa kwa mateso, wala usinywe sumu au kumeza vidonge vichungu, utakufa unatapatapa na kutuchafulia nguo mashuka na hali ya hewa!. Nakushauri nunua vidonge vya usingizi vallium 10 tuu vinatosha!, oga, vaa nguo zako nzuri, meza vidonge vyako kisha lala, unaondoka very peacefully hapa duniani ila kimbembe ni kule motoni!.
Sijui wamenifanya nini au wamecheza mchezo gani
Hakuna yoyote aliyekufanya lolote ni wewe tuu mwenyewe unajiloga kwa ...
ila ndugu zangu kiukweli nimechokaaa sanaa.
Pole sana usikate tamaa!.
Ila kiufupi Kama nitapata bahati ya kurudi na kuwajua basi nitadai roho yangu, haki yangu ya kuishii, Sina jinsiii
Ukisoma hapa utaendelea kuishi
Ni Kama kuujua mwisho wa maisha yako, huku ukitambua hakuna njia ya kuchomoka.
Njia zipo nguvu hizi unazo Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo? ila hijajitambua na namna ya kuzitumia.
Nawaaga Kama tutapata bahati ya kukutana, Basi nitaomba tuwe hivi hivi upendo,amani na mitafaruku vilinijengaa na kunifunza mengi.
Asante jiponye, jitibu "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!
Nakumbuka remmy ongala aliimba kifooo kifooo kifoo hakina huruma.
Tafuta na wimbo wa Usikate Tamaa wa Upendo Nkone
till next life, Kama ntapata chanceeee
Nimekupa chance ila ukishindwa basi safari salama, maana hapa duniani ni mapito tuu sote tunapita , tangulia wewe mbele sisi nyuma yako tutakufuata ila kutangulia kwako uwe ni umeitwa na YEYE, ukijitanguliza mwenyewe kwa kukata tamaa na kujiua, ujue unatangulia motoni jehanam ya ziwa la moto wa milele!, huko tangulia mwenyewe tuu!.
P
 
Mrembo Jemima Mrembo , asante kuni tag, huyu jamaa ni kweli angeweza kujiua lakini kwasababu tayari ameisha vent humu, if ndio pona yake! Ndio salama yake.
P
Kuna mmoja alishasema anataka kujiua kwa stress za maisha, watu tukaona anafanya masikhara, baada ya muda tukaletewa taarifa kwamba amesha jitanguliza mbele ya haki
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha kweli .lakin kuamua kujitoa uhai sio sawa,

Chochote unachopitia ni mapito tu ya kawaida ambayo kuna watu wanalitia zaidi yako

Mfano kuna mtu namfahamu nilitoka kumsalimia juzi juzi tu anaumwa vibaya sana alikuwa na kilo 95 ila kwa sasa ana kilo hata 20 hazifiki

Amekonda sana ila yeye mwenyewe anajipa moyo kama gari itarudi barabarani ,yan amaanisha atapona

Na wala hana wasiwasi japo anaumwa kila mtu amekata tamaa lakin yeye mwenyewe wala hana wasi wasi na wala hajui kukata tamaa ni nini

Kwahiyo kipitia huo mfano hapo juu nakuomba sana kipe moyo ndugu

Na pia jaribu kumtafuta mungu wa kweli na kuomba msamaha kila mara

Ni muda wa kutumia akili yako ya kuzaliwa sasa na kuachana na porojo.......

Tumia akili zako mwenyewe pima wapi uende

Allah atupe mwisho mwema.

Haikuwa dunia ila ni starehe ya muda mfupi
.
Tuishi kama wasafiri muda wowote tunaondoka.
 
Kufa kila mtu atakufa kwa wengine kinakuja kwa kushitukiza uzuri kwako umejipanga nafasi ambayo wengi hawaipati hata kama hutajinyonga leo lakini ipo siku lazima ufe hivyo fanya maamuzi sahihi
 
Mkuu Intelligent businessman, kwanza ni kweli hakuna marefu yasiyo na ncha na kila lenye mwanzo pia linamwisho, ila ukiisha jiita jina fulani, lazima uliishi hilo jina!, haiwezekani mtu ujiite intelligent so and so hivyo tunakuona kama ni mtu mwenye akili kumbe ni lijitu lijinga linakata tamaa kijinga na kutaka kujiua kwa sababu za kijinga eti kwasababu tuu halijatoboa hapa duniani hivyo linadhani likijiua ndio litapumzika!, kumbe halijui kuwa kujiua ni dhambi, likijiua linakwenda straight motoni!, kule lenyewe ndio litafanywa kuni!. Jitu la hivi ni li intelligent gani limeniharibia siku yangu ya wapendanao!.

Usiishi kwa hisia na usikate tamaa!.

ukijitegemea wewe mwenyewe ni kweli huwezi tena kuendelea, lakini ukimtegemea YEYE YULE AWAYE YOTE ALIYEKULETA HUMU DUNIANI AMBAYE NI ALFA NA OMEGA, utayaweza tote katika YEYE!.

Kwa hayo unayopitia, kama unadhani ni maumivu, na unapoteza muda hivyo unaona bora ufe, amini nakuambia ukijiua maumivu utakayokutana nayo huko motoni, utajuta kujiua!. Kule utafanywa kuni, na moto ule ni ziwa la moto wa milele!.

Kama ni umeonyeshwa, it's fine, maana kila kitu kimepangwa, yaani wewe ulipangiwa ujiue, then hatuwezi kupangua, nakushauri, usijinyonge maana utakufa kwa mateso, wala usinywe sumu au kumeza vidonge vichungu, utakufa unatapatapa na kutuchafulia nguo mashuka na hali ya hewa!. Nakushauri nunua vidonge vya usingizi vallium 10 tuu vinatosha!, oga, vaa nguo zako nzuri, meza vidonge vyako kisha lala, unaondoka very peacefully hapa duniani ila kimbembe ni kule motoni!.

Hakuna yoyote aliyekufanya lolote ni wewe tuu mwenyewe unajiloga kwa ...

Pole sana usikate tamaa!.

Ukisoma hapa utaendelea kuishi

Njia zipo nguvu hizi unazo Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo? ila hijajitambua na namna ya kuzitumia.

Asante jiponye, jitibu "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

Tafuta na wimbo wa Usikate Tamaa wa Upendo Nkone

Nimekupa chance ila ukishindwa basi safari salama, maana hapa duniani ni mapito tuu sote tunapita , tangulia wewe mbele sisi nyuma yako tutakufuata ila kutangulia kwako uwe ni umeitwa na YEYE, ukijitanguliza mwenyewe kwa kukata tamaa na kujiua, ujue unatangulia motoni jehanam ya ziwa la moto wa milele!, huko tangulia mwenyewe tuu!.
P
Kaka P hapo kwenye neno"Lijitu lijinga umeteleza kidogo""sio uungwana kutumia aina hiyo ya neno katika kutoa ushauri na usijipe excuse!!
 
R.I.P in advance,

Wasalimie sana kina Michael Jackson,Bob Marley,2PAC,JPM.
Nakumbuka kuna miaka nilipata kila kitu kwenye hii dunia na nilisema nisipodanja kipindi hiki basi sitodanja miaka 100 ni long story lakini niliishi maisha ya peponi na nilikua naandamwa na roho ya kifo,

Kuna kipindi nimewahi kufuatwa na watu wakiwa kwenye Noah wakiwa na mapanga km wanne wakasimamisha Noah wakashuka wakanizunguka nilikua natembea kwa mguu wakaniambia nitoe kila nilichonacho that day nilikua NAKUFA Ila nilimalizana nao kiistarabu tu bila kunidhuru niliwapa kila walichotaka maana nilijua gharama ya vile vitu kesho nanunua vingine kwanini NIFE kizembe? wakaniacha mimi wakamfuata mtu mwingine nae wakamwambia afanye km nilivyofanya akagoma kufanya bwana bwana si akataka kupambana nao watu wanne na mapanga mikononi wakampiga mapanga pale pale huku mimi nawaona R.I.P
 
Back
Top Bottom