Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Vijana msipende mambo makubwa kuliko uwezo wenu..ishi vile ulivyo..ishi ndani ya kipato chako..ukiona uraiani hapaeleweki mpe Mungu maisha amua kufata yaliyo yake..achana na competition zisizo na ulazima...kujiua kwa vijana wengi siku hizi ni kutaka kuishi maisha yaliyo nje ya uwezo wao..rudi kijijini ukalime..ukavue au ukafanye lolote...
NB:UKIFA UMEJITAKIA
 
Nimejaribu kupitia nyuzi zako za nyuma,. Sioni Mahali ambapo upo Down .

Nimewaza sana, je uliamua kuugulia Ndani Kwa ndan?.

Kama niivo basi ulikosea ila kwakua bado upo hai .

Nini hasa kinachokuunguza Ndani Mkuu?.

Nmechelewa kufika!!.
 
Madam sio kuhusu pesa Wala kazi buts it's about my brain, my damn mind
 
Andaeni kuni Andaeni mchele andaeni maharage hatutaki kushinda njaa msibani
 
mimi nimeshauri kias kwamba had naona najisumbua kuna muda ananambia vitu vyake binafs nimejaribu kumshauri kwa namna nzuri sana but huyu kiumbe hasikii wala hashauriki nimeshachoka kiasi nimemwambia kama unaamua kujiua asinishirikishe mimi
 
Madam I think we were done??, I wonder what the fu**** is this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…