Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Mungu anao watu anao-waamini, watu wenye misuli ya imani, wao wanapopita kwenye magumu, wanamtukuza katika hayo, amini lipo kusudi la Mungu katika hayo unayoyapitia, wewe siyo wa kwanza kuwa katika hali hiyo, ni wengi waliopitia katika situation iyo na Mwenyezi Mungu amewabadilisha na kuwapa tumaini jipya, mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, naye atayanyoosha mapito yako.
 
Don't give up! For in the darkest moment of difficulties there is a twinkle of light to lead you through
Not that simple bro, unakumbuka nilikuuliza Kuhusiana na tiba ya rohoni ??, Nilijaribu karibu Kila kitu but it's nothing bro.

Bora wangenikata hata miguu, sehemu za Siri au hata kiungo kingine but sio kuifunga akili yangu.

Ila bado najiuliza, was I a big threat🤔 that why they decided to annihilate me like this🤔🤔
 
Intelligent businessman anataka kujiua kisa life gumu. Hizi Id muda mwingine haziwakilishi uhalisia wa watu
Bro it's better Mara 100 life ingeKuwa ngumu, but it's about my mind Kaka. My damn brain. imefungwaa.

Imagine I was a great learner in my academics, my whole life bro vitabu vimejuwa rafiki yangu ila Sasa siwezi ingiza taarifa kichwani
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.

Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf.

Ila kiufupi nahisi Safari yangu ya maisha imekaribia mwisho, siwezi tena kuendelea. Nimejaribu na imeshindikana. Zaidi ya kuendelea kupata maumivu na kuendelea kupoteza muda.

Ni bora ningekuwa mvuta bangi,mlevi au hata mzinzi labda ningejaribu kusingizia labda kilichonipata kimesababishwa na hayo ila it's big nooop.

Nilijaribu kuishi maisha yangu katika misingi taratibu, sheria na imani yangu ila ilikuwa ni sawa na bureeee. Mpaka muda mwingine nahisi naota labda huenda nitaamka nipingane na ukwelii but still nakutana na hali ile ile.

Lakini Kama wasemavyo wenye dini zao- kuwa kila kitu kilishapangwa. Basi nami Sina jipya tena chini ya juaa, kwasababu nauona mwisho wanguuu.

Nimejaribu kupingana nao ila still ni ngumu, ni Kama gari lililokosa engine, baiskeli bila mnyororo, mwili bila kichwa.

Sijui wamenifanya nini au wamecheza mchezo gani ila ndugu zangu kiukweli nimechokaaa sanaa.

Kwasababu binadamu huezi ishi bila mipango,uamuzi toka ndani ya roho, kipawa cha Cha kujua unaishi kwa nini??.

Ni Kama vyote wamevisimamisha, hakuna kufikirii,hata kutambua mi ni nani?? Imekuwa ngumuu.- nilipata nafuu mara 1 ila it's nothing. Sio amnesia(kupoteza kumbukumbu).

Ila kiufupi Kama nitapata bahati ya kurudi na kuwajua basi nitadai roho yangu, haki yangu ya kuishii, Sina jinsiii

Ni Kama kuujua mwisho wa maisha yako, huku ukitambua hakuna njia ya kuchomoka. F**ck mee.

Samahani kwa wote nitakaowakwaza, niliowaudhi na labda kuwakeraa aidha kutokana na utani wangu,mawazo yangu hasi au hasira zangu. Peace to you all ladies and gentlemens.

Nawaaga Kama tutapata bahati ya kukutana, Basi nitaomba tuwe hivi hivi upendo,amani na mitafaruku vilinijengaa na kunifunza mengi.

Nakumbuka remmy ongala aliimba kifooo kifooo kifoo hakina huruma.

Ila salute and respect to you guys tumekuwa zaidi ya familiaaa
Mwachiluwi, Madame S, talented writer Analyse, Mr kenice billionaire Bill Lugano, Cha ukorofiii Lovelovie sister mawigi Antonnia BM X6 pure, charismatic fella GENTAMYCINE, mwana hip hop Scars, makaveli10 mtaalamu aliyejaribu kuunganisha timu ya wanaharakati Mshana Jr Korean series lovers Numbisa Khantwe @satosh hirosh mwanaharakati wa hovyo mpwayungu village, fungeni ndoa Chizi Maarifa na trudie Bantu Lady, macho makubwa Dahan business expert CONTROLA I wish tungefanya jamboo, intelligent Da'Vinci wazee wa mizagamuano National Anthem & Mzee wa kupambania Bujibuji Simba Nyamaume jasusi Carlos The Jackal and so many others👉 my bow favorite song 👉see you again by wiz khalifaa

till next life, Kama ntapata chanceeee
Kafie mbele hukoo...
 
Bro it's better Mara 100 life ingeKuwa ngumu, but it's about my mind Kaka. My damn brain. imefungwaa.

Imagine I was a great learner in my academics, my whole life bro vitabu vimejuwa rafiki yangu ila Sasa siwezi ingiza taarifa kichwani
Pole mkuu kamwe usijaribu kuchukua maamuzi magumu niamini kuna watu wawili walikusaidia miaka miwili nyuma.

Ni watu wako wa karibu sana, mmoja upo naye karibu tokea ulipo pata hiyo hali miezi mitatu nyuma. Amini uyo mwingine atatokea muda si mrefu, utakuwa sawa. Chakufanya waeleze kila kitu unachopita acha kuwa msiri sana. Hopefull utapona muda si mrefu. Ugua pole.
 
If you don't mind, would you please leave me the fu....ck alone.

Huezi elewa, ila naomba niache dude. Au mama yako hajakufundisha
Km una ugonjwa wa akili jipe muda utapona inachukua muda kidogo ila utapata nafuu make sure unatumia Olive oil kwa wingi kunywa na kula ili km una wadudu mwingine wenyewe watakuhama maana Olive oil na wale wadudu ni maji na mafuta,
 
Km una ugonjwa wa akili jipe muda utapona inachukua muda kidogo ila utapata nafuu make sure unatumia Olive oil kwa wingi kunywa na kula ili km una wadudu mwingine wenyewe watakuhama maana Olive oil na wale wadudu ni maji na mafuta,
Bro you think it's funny, nimekunywa pilton zaidi ya 20 lakini bado naishi. Sioni umuhimu wa haya maisha
 
Vipi mkuu ushaondoka tayari?
Kama bado upo nambie unapatikana wapi tufanye mpango wa jeneza mkuu mie ntakuuzia bei nzuri kama mwanaJf mwenzetu kaka usiondoke hivi hivi bila kuniungisha!
Sijaondoka mkuu, ila nimejifunza pilton na Panadol haziui Kama wanavyosemaga watu
 
Mkuu jikung'ute vumbi kamata viatu vyako vaa endelea na safari ya maisha. Hapo hamna kukata tamaa, kuna watu wanatamani wapate uhuru japo lisaa limoja na hawapati hiyo fursa. Haujachelewa mkuu, jua wapo watu wanakuthamini ila haujawajua, achana na huo uamuzi kaza moyo endelea na jaramba. Sali sana.
Thanks mkuu ila bila akili yangu Mimi si kituu. Akili yangu haifanyi kaziii
 
Back
Top Bottom