Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataitoa ccm madarakani. Lakini kwa njia ya kura ni kupoteza muda, maana wahesabu kura na watangaza matokeo ni chawa wa ccm.Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo, lakini its certain.
Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani.
- Mapiduzi ya vita
- Mapinduzi ya diplomasia
- Baadhi ya wana ccm kutengeneza chama kingine
- Muungano kuvunjika
- au ?
Ok lakini tunajaribu ku analyse sababu sababu ambazo zipo likelyMuda.kama umefika ata leo.Muda ukifika wenyewe ndio utakaochagua utumie njia gani.
Hii sawa kabisa
- Vyuma vikikaza sana
- Baadhi ya wana ccm kutengeneza chama kingine
- Muungano kuvunjika
Wanajeshi wenyewe ni wana CCM, hamna kitu pale, kumejaa siasa tupuMapiduzi ya jeshi
Umejuaje kuwa wanajeshi wakipindua hawataitisha uchaguzi tena na ccm ikashinda?Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataitoa ccm madarakani. Lakini kwa njia ya kura ni kupoteza muda, maana wahesabu kura na watangaza matokeo ni chawa wa ccm.
hio 2025 cha mtoto, Kulikuwa na chaguzi za 1995, 2010, 2015.Kama kuna nyakati ambapo upinzani wana nafasi ya kuiondoa ccm madarakani basi uchaguzi 2025 ni nafasi nzuri .
Mpasuko wa ccm ndio likely kuja kuitoa ccm not otherwise na hili litatokea pale wale wanaojiona chama ni mali yao wakija kubaguliwa na mtu mgeni kwenye chama ambaye wataona hastahili kuwatenga, civil unrest kwa tanzania bado sana maana polisi wetu kwakweli tuwape hongera wamekuwa makini kwa viashiria vyovyote vya kuvuruga amaniHakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo, lakini its certain.
Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi,
Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani.
- Vyuma vikikaza sana
- Mapinduzi ya jeshi
- Mpasuko mkubwa ndani ya ccm utaotengeneza chama kipya
- Civil war watu kuanza kujiorganize misituni kupindua nchi
- Muungano kuvunjika
- Civil Unrest nchi nzima - Maandamano, migomo, kufunga barabara, n.k.
- au ?