WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
CCM ndiyo kikwazo cha yote hayo kutokuwa na sera moja ya Chama inayoeleweka.Shida yetu watanzania sio CCM,
Watanzania tunahitaji Amani, Haki na ustawi wa jam...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndiyo kikwazo cha yote hayo kutokuwa na sera moja ya Chama inayoeleweka.Shida yetu watanzania sio CCM,
Watanzania tunahitaji Amani, Haki na ustawi wa jam...
Mungu.Kukiwa kuna kina Luhaga Mpina kama 20 hivi inawezekana
Kuhusu polisi ni rahisi kucontroll civil unrest sababu watanzania wachache sana wana uthubutu wa kuwa face field force, Mnaweza kuandamana wengi ila defender moja tu ikionekana kila moja anatawanyika wanaobaki wanahesabika.
Mbona bado tupo sana tu!Kiukweli hatoki mtu Wala chama hapa,hayo uliyoandika ni hadithi tuu ndg!Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo, lakini its certain.
Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi...
03 September 2024
Mahakama Kuu
Kanda ya DSM
Kivukoni Front
View: https://m.youtube.com/watch?v=vw8cwCWupss
Hadi hapo jamii itaporudishiwa akili, (kumbukumbu), binadamu akipata changamoto, (uncertainty), huamsha ubongo na kutatua changamoto, (adaptbility skills), ama kubuni mbinu zitakazo tatua changamoto, kwa ufupi tu binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiriHakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo, lakini its certain.
Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi,
Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani.
- Vyuma vikikaza sana
- Mpasuko mkubwa ndani ya CCM utaotengeneza chama kipya
- Muungano kuvunjika
- Civil Unrest nchi nzima - Maandamano, migomo, kufunga barabara, n.k.
- au?
TimeHakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo au zaidi, lakini hili halikwepeki.
Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi,
Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani.
- Vyuma vikikaza sana
- Mpasuko mkubwa ndani ya CCM utaotengeneza chama kipya
- Muungano kuvunjika
- Civil Unrest nchi nzima - Maandamano, migomo, kufunga barabara, n.k.
- au?
Vyama kama ccm vyenye mizizi kama mbuyu huwa vinaondoka kwa aina mbili au tatu tu..Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo au zaidi, lakini hili halikwepeki.