Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
The time for factory reset, is right on the door.Mapinduzi ya kimachafuko either ya Jeshi navyo ni unluckily kutokea maana Jeshi let la TZ ni Ccm C.
1)ndani ya Jeshi Kuna watu wanatafuta vyeo kwa kujituma kabla hata hawajatumwa.
Mara nyingi habari za JW kufanya Usafi kila Chadema wanapotaka kufanya maandamano utoka kwa wakuu wa JW hata kabla simu ya Magogoni.
2) ni nadra sana watu kufanya machafuko endapo JESHI,MAHAKAMA,SERIKALI NA BUNGE VINASHIRIKIANA KUMKANDAMIZA RAIA.
kinachotokea Tanzania ndiyo kinachokea Urusi,N/korea na Nchi zingine za Africa.
TIME NDIYO ITAFANYA RESET YENYEWE.