Gentleman,Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Sasa kwanini msiridhiane na vile vyama vilivoshiriki uchaguzi?Gentleman,
maridhiano ni tendo la hiyari miongoni mwa waTanzania wote. Sio lazima wewe au mimi kua sehemu ya maridhiano hayo muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu.
mamilioni ya waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha vema kwa niaba yetu na kwa niaba ya waliokosa fursa hiyo kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na majukumu.
mwaka 2025,
kuna vyama vya siasa kwa hiyari zao, waliosusia uchaguzi mkuu, lakini mamilioni ya waTanzania ambao walikua tayari, walishiriki kikamilifu katika zoezi hilo la kikatiba na nchi yetu hivi sasa inasonga mbele vizuri tu kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Nadhani hata kwenye mchakato wa maridhiano kuelekea katiba mpya ikiwa hivyo, itapendeza zaidi. Watakaosusa wakae pembeni ili hatimae watoe nafasi kwa walio tayari kufanya maridhiano na kusonga mbele kama taifa.
kumbe,
maisha hayana extra time 🐒
Gentleman,Sasa kwanini msiridhiane na vile vyama vilivoshiriki uchaguzi?
Katiba Mpya haiwezi kuletwa na ccm isiyoona shida kwenye Katiba iliyopo.
WaTanganyika siyo mazuzu kama mlivyo!
Watanzania tumerogwa tumekuwa kama matahira sidhani hata kama watatumia nguvu kubwa kurudi madarakani.2030 kutoboa kwao ni ngumu labda wauwe ndio wanaweza CCM
Kwahiyo tunasuniria 2030 turidhiane, aisee watanzania tumerogwa aisee.Maridhiano - naona kama hili jambo halitatokea hadi 2030, kwa vile sioni dhamira ya dhati.
Hakuna maridhiano.Mariziano ya nini tena
Hakuna maridhianoMaridhiano watu wameficha mapanga nyuma?
Huyo ni taahira hakuna haja ya kujibizana naeSasa kwanini msiridhiane na vile vyama vilivoshiriki uchaguzi?
Katiba Mpya haiwezi kuletwa na ccm isiyoona shida kwenye Katiba iliyopo.
WaTanganyika siyo mazuzu kama mlivyo!
Wote wameshiriki (directly and indirectly).Wakuu samahanini...
Naomba tofaut kati ya:
1. serikali,
2. ccm,
3. watumishi,
4. wafanyakazi, na
5. waajiriwa
Wenye hizi tuhuma haswa ni kina nani ?
Maana kuna watu tunaishi nao vizuri tu na wanafanya majukumu yao kama kawaida...
Kwahiyo tunasubiria 2030 turidhiane!?Wanavuta vuta muda kama kawaida, hadi 2029 hakuna katika mpya wala maridhiano halafu wanasema muda hautoshi. Wanasingizia CHADEMA ndo walikwamisha dhamira ya Mh. Rais Dr. Samia. Mzunguko unaanza upya.
Jizi lipenda rushwa unashangia nini. endelea kula rushwa ndi kitu ulicholetewa hapa dunianiGentleman,
maridhiano ni tendo la hiyari miongoni mwa waTanzania wote. Sio lazima wewe au mimi kua sehemu ya maridhiano hayo muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu.
mamilioni ya waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha vema kwa niaba yetu na kwa niaba ya waliokosa fursa hiyo kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na majukumu.
mwaka 2025,
kuna vyama vya siasa kwa hiyari zao, waliosusia uchaguzi mkuu, lakini mamilioni ya waTanzania ambao walikua tayari, walishiriki kikamilifu katika zoezi hilo la kikatiba na nchi yetu hivi sasa inasonga mbele vizuri tu kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Nadhani hata kwenye mchakato wa maridhiano kuelekea katiba mpya ikiwa hivyo, itapendeza zaidi. Watakaosusa wakae pembeni ili hatimae watoe nafasi kwa walio tayari kufanya maridhiano na kusonga mbele kama taifa.
kumbe,
maisha hayana extra time 🐒
Taahira huyo yupo kazini.Jizi lipenda rushwa unashangia nini. endelea kula rushwa ndi kitu ulicholetewa hapa duniani