Wewe mwizi na mla rushwa. Hatukutaki kwenye forum hii. Unanuka rushwa na mambo ya wizi wizi tuGentleman,
vyama sio muhimu kwenye masuala ya kitaifa. Na kama vipo vyenye misimamo yao useless nadhani ni vizuri vikapuuzwa na waliotayari waridhiane na wasonge mbele bila mbambamba yoyote ๐
Hivi huyu anaelewa kweli kwamba umri wake ni wa kutubu tu kwa sasa?Maridhiano chini ya Wassira!!!?
jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi gentleman,Jizi lipenda rushwa unashangia nini. endelea kula rushwa ndi kitu ulicholetewa hapa duniani
Gentleman,Wewe mwizi na mla rushwa. Hatukutaki kwenye forum hii. Unanuka rushwa na mambo ya wizi wizi tu
Wewe ni *****Gentleman,
mihemko useless jukwaani haina maana yoyote na wala haisaidii kubadili chochote ispokua inakuexpose tu wewe mwenyewe jinsi ulivyo empty head ๐
Huo upuuzi hata katoto kanako nyonya katagomea huo upuuzi,na hapo hao kenge wanatakiwa watambue sii tena enzi za kenge ila za nyoka na huwa!Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Watakufa hadi virembwe wako lakini mama Tanzania itaendelea kusimama imara chini ya Watanzania wakiongozwa na Chama cha Mapinduzi!Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
We jamaa unaona Bora tukose wote?Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Huwezi kuridhiana na shetaniLicha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Maridhiano ya kusafisha waliotenda maovu yatawezekana vipi.Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Huwezi kuridhiana na shetani
Mbegu ili izae lazima ifeWe jamaa unaona Bora tukose wote?
ChawaWatakufa hadi virembwe wako lakini mama Tanzania itaendelea kusimama imara chini ya Watanzania wakiongozwa na Chama cha Mapinduzi!
๐ฏMaridhiano ya kusafisha waliotenda maovu yatawezekana vipi.
hao wanaotafutwa kushiriki kwenye tendo hilo na wao watakuwa wanashiriki uovu.
NyumbuChawa
Gentleman,
maridhiano ni tendo la hiyari miongoni mwa waTanzania wote. Sio lazima wewe au mimi kua sehemu ya maridhiano hayo muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu.
mamilioni ya waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha vema kwa niaba yetu na kwa niaba ya waliokosa fursa hiyo kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na majukumu.
mwaka 2025,
kuna vyama vya siasa kwa hiyari zao, waliosusia uchaguzi mkuu, lakini mamilioni ya waTanzania ambao walikua tayari, walishiriki kikamilifu katika zoezi hilo la kikatiba na nchi yetu hivi sasa inasonga mbele vizuri tu kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Nadhani hata kwenye mchakato wa maridhiano kuelekea katiba mpya ikiwa hivyo, itapendeza zaidi. Watakaosusa wakae pembeni ili hatimae watoe nafasi kwa walio tayari kufanya maridhiano na kusonga mbele kama taifa.
kumbe,
maisha hayana extra time ๐Tuna macho lkn hatuoni, na tuna masikio lkn hatusikii
Watu wa namna hii huwa hawaamini wala hawawazi kabisa kwamba kuna hukumu baada ya kifo!Hivi huyu anaelewa kweli kwamba umri wake ni wa kutubu tu kwa sasa?
Chawa ๐ฎNyumbu