Hakuna mchezaji aliyefikia kiwango cha Pele?

Kuna mchezaji aliyecheza kiwango Cha juu sana akakosa vikombe muhimu?
Nitajie hao legends wa zamani ambae alicheza kiwango cha juu kuliko mchezaji yoyote kisha akakosa kutwaa World Cup

mbona wapo wengi tu
unamjua Zicco?
unamjua Eusebio?
Marco Van Basten?
kuna mchezaji wa Hungary acha kabisa mechi ya kwanza ya gruop aliwapiga west German bao kama nne
ajabu fainali West German wanashinda kwa mbinu tu
hungary ilikuwa inatisha dunia nzima..

wapo wengi sana...hata George Weah huwezi mlinganisha na kina Klose waliochukua ubingwa juzi tu hapo brazil
 
Uliowataja wote wako ok but not at Gaucho's level
Kumlinganisha Weah Na Gaucho ni matusi
 
point ni wachezaji wenye vipaji bora ambao hawakushinda world cup
Weah ana kipaji kuliko kina Mueller walioshinda world cup brazil 2014..
Tunaongelea ultimate talent level of soccer genius i.e Maradona, Pele and Gaucho
Ukitoka wachezaji bora tu hata Okocha na Hussein Marsha nao wapo mkuu
 
Zico was ok in Espana 82 Brasil
Iliishia 2nd round na hankungara tena after that.
Eusobio baada Ya England 66 ndio chaliii
Van Basten was part of the great Dutch Trio at AC Milan but hakuisaidia nchi yake in World Cup other than Euro
Puskas alitokea Hungary and he was just ok like Zico
Germany wanashinda kwa mbinu but walimkoma Maradona in Mexico 86 na maguvu na hizo mbinu zao. He was able to crack the code and beat them 3-2, which explains why Diego is a genius than this Messi the dwarf who failed to do the same in Brasil 2014
There was Pele, Maradona and Gaucho......the rest are just challengers
Nitajie wengine please
 
Messi haitaji kuchukua kombe lolote ili awe nuksi
inabidi ukachambue taarab mpira umeshakushinda
Messi ni jini nyie ndio wale mkikaa mkiona messi kashika mpira unaanza kumuangalia kwa chuki
chuki haziwasaidii
Na Messi anafunga kama yupo quaresma kila siku

Watu wengine wajinga mpaka najuta kusoma comment zao mada nzima anampinga messi kwa kigezo kimoja tu

Messi atafunga mpaka mtajuta kumtambua na wc 2018 anabeba mkatafute sababu zengine

madridiot
 
[emoji107] [emoji107]
 
Alichokifanya Maradona na Gaucho huyo Messi kashindwa
Hakuna chuki hapa ila ni facts tu
 
ndio nini ??
acha chuki unamchukia mtu na kipaji chake na hela zake mishipa ikutoke wew
Chuki Ya nini hapa wakati tunaongea facts. Nimchukie kwa yapi au unaniwekea maneno mdomoni
Messi ataiona World Cup kwenye runinga tu sitting room
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…