The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kuna mchezaji aliyecheza kiwango Cha juu sana akakosa vikombe muhimu?
Nitajie hao legends wa zamani ambae alicheza kiwango cha juu kuliko mchezaji yoyote kisha akakosa kutwaa World Cup
mbona wapo wengi tu
unamjua Zicco?
unamjua Eusebio?
Marco Van Basten?
kuna mchezaji wa Hungary acha kabisa mechi ya kwanza ya gruop aliwapiga west German bao kama nne
ajabu fainali West German wanashinda kwa mbinu tu
hungary ilikuwa inatisha dunia nzima..
wapo wengi sana...hata George Weah huwezi mlinganisha na kina Klose waliochukua ubingwa juzi tu hapo brazil