manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
kipindi de lima na zizou walipochukua ballorn d'or mara tatu tatu dunia ikajua hakuna mwingine ambae anaweza akavunja rekodi za magwiji haoView attachment 323674 View attachment 323675
Soma hapo acha uvivu.. mwaka wa 2005 ABICELESTE 2-1 NIGERIA ilipigwa HOLLAND messi akanyakua kombe! mwaka wa 2008 ALBICELESTE 3-0 BRAZILilipigwa BEIJING akiwepo na mauno wenu na robinho walipotezwa ile mbaya albiceleste wakalinyakua..
lakini kumbe kapo haka kajamaa mdogo kwa umbo mkubwa kwa mambo messi mahatrick!
rekodi anazoweka nahisi itapita miaka 1000 kuvunjwa
nani mwingine atakuja kuchukua ballorn d'or mara tano?????
sahau kuhusu world cup hiyo itakuwa kama additional qualification on his already impressive cv
messi mahatrick hana mpinzani