Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubongo wa siagiMsemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Ukishakuwa mpiga zumari wa Makolo FC akili huwa zinaruka unakuwa pimbi.Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Kumbe Ahmed Ally ni mpumbavu alokuwa kajificha Azam Media. Yanga hii anaweza kuiongelea namna hiyo kweli?Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Mpe tu zake huyo usimchekee.Nimejikuta naandika mara tatu na kufuta.
Very Unprofessional statement, Nilikuwa namuona kichwa kumbe hakuna kitu no box tuMsemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Kuna Jambo Nilikuwa naamini kaaingiziwa kuhusu kumuacha Lwanga sababu ya majeruhi. Kumbe si Kila akili ina akili. Haya hayapaswi kuwa maneno ya Msemaji wa timu yanapaswa kusemwa na shabiki tu wa Mpitimbi au Sangamwalugesha huko. Juzi alisemà wenzao wanatamani kuwa na Msemaji kama yeye, Sasa hapa ana tofauti gani na Manara maana haya ndo yalikuwa maneno ya Manara.Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Hana baya Msemaji wa Mabingwa Nchi Simba SC, kasema ukweli yaani..!Kumbe Ahmed Ally ni mpumbavu alokuwa kajificha Azam Media. Yanga hii anaweza kuiongelea namna hiyo kweli?
Bahati mbaya zaidi ni kuwa mchezo huu huwa unachezwa hadharani si gesti.Haka kajamaa ni kapumbavu fulani tu,ila mm sishangai maana ndo sisi mashabiki wa simba tunapenda kusikia....ila kiukweli Shaban Juma hawezi kuwa chini ya Kapombe,Aucho hawezi kuwa chini ya kanoute au mkude,Mayele hawezi kuwekwa bechi na boko,kagere,mugalu...feisal hawezi kuwekwa bechi na bwalya,mzamiru....Saido hawezi kuwekwa bechi na kibu...
Mkuu huyo mtu ni mtu watu yupo pale kimkakati na sisi ndo tumemuweka pale.Kumbe Ahmed Ally ni mpumbavu alokuwa kajificha Azam Media. Yanga hii anaweza kuiongelea namna hiyo kweli?