Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Naona Utopolo mmekubali kujazwa upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na walikua pungufu mkawashindwa 🤣kwani mbeya city walikuwa wanacheza au ilikuwa kikundi cha wachezaji walikuwa wamejikusanya golini kuzuia wasifungwe. Huku wakipiga mpira uende mbele.
huyu Ahmedi siku ya kujiunga na Yanga ndio akili zitamrudia kama mwenzie!Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... kwaio mimi MZEE WA BWAKSI ni miongoni mwa wale mashabiki maandazi wa Simba SC?? Acha kututukana jamaaMungu alinisaidia sana kutokuwa na ushabiki maandazi kama huo wa Ahmed Ally maana ni ugonjwa. Unajua kutokubali mazuri ya mwenzio kama yapo ni ugonjwa mbaya sana. Yaani shabiki wa Yanga kwa ushabiki tu wa kishabiki anaweza kukana uwezo wa Manula dhidi ya Kindoki kipindi kile yuko Yanga! Kwa shabiki wa Simba Mzamiru ni bora mara 10 kuliko Feisal Salim.
Ndo maana unaona msemaji wa timu anaamini Aucho hana Namba mbele ya Mkude na mashabiki wa Simba kwa vile ndo msemaji wao wanatoka na mabango kama unavyomuona Mropokaji Scars. Muda wote nitaendelea kuamini shabiki bora wa Simba aliyeko JF ni Gentamycine na wa Yanga ni Shadeeya. Hawa angalau wanakubali udhaifu na kusifu ubora kama upo, wengine ni bora liende.
Na wewe nikilaza tu ktk mpiraHana baya Msemaji wa Mabingwa Nchi Simba SC, kasema ukweli yaani..!
Ukija kiungo wa chini, Aucho hawezi kumweka bechi Mkude wala Lwanga na ukija kiungo wa juu, Aucho hawezi kumweka bechi Chama wala Kanoute.
Ukishakuwa mpiga zumari wa Makolo FC akili huwa zinaruka unakuwa p
Jamaa kiazi mnooo..Kutwa, kucha anaongelea mambo ya Yanga. Mpaka anaboa yaniUkishakuwa mpiga zumari wa Makolo FC akili huwa zinaruka unakuwa pimbi.
Mkuu mimi ni Yanga,mzee wa fact kabisa,siyo shabiki aandaziMungu alinisaidia sana kutokuwa na ushabiki maandazi kama huo wa Ahmed Ally maana ni ugonjwa. Unajua kutokubali mazuri ya mwenzio kama yapo ni ugonjwa mbaya sana. Yaani shabiki wa Yanga kwa ushabiki tu wa kishabiki anaweza kukana uwezo wa Manula dhidi ya Kindoki kipindi kile yuko Yanga! Kwa shabiki wa Simba Mzamiru ni bora mara 10 kuliko Feisal Salim.
Ndo maana unaona msemaji wa timu anaamini Aucho hana Namba mbele ya Mkude na mashabiki wa Simba kwa vile ndo msemaji wao wanatoka na mabango kama unavyomuona Mropokaji Scars. Muda wote nitaendelea kuamini shabiki bora wa Simba aliyeko JF ni Gentamycine na wa Yanga ni Shadeeya. Hawa angalau wanakubali udhaifu na kusifu ubora kama upo, wengine ni bora liende.
Unaweza kumwita pass Master wa ligi yetu, jamaa anapiga pass kama yule Xavier Hernandez Creus( Xavi) yule kiungo bora kabisa kutokea pale katika viunga vya mji wa CatalunyaHakuna mchezaji anaemzidi Litombo bangala pasi na ndio mchezaji alieweka rekodi ya kupiga pasi nyingi kwenye mchezo mmoja
source. @mpira takwimu
Haya wakongomani waliwafanyaje ?waliwapigia Sebene mkashindwa kucheza Mayele akacheza kwani kimataifa utacheza bila kufanya vizuri kwenye ligi ya NBC unayoiponda ? Basi kaeni msicheze ligi ya Tanzania tuone Kama utaenda kimataifa mshamba kweli wewe jamaa hujui mpira eh?Kwan kasema uongo? Acheni kuwafananisha wachezaji wa simba wanaocheza ligi za kimataifa na hao wachezaji wenu wa mchangani.. simba imesajili kwa malengo ya sio tu kucheza NBC mnayohangaikia nyie bali hata match za CAF cofederation... hilo kombe la NBC kwa simba na yanga halina maana yoyote zaid tu kama njia ya kufuzu kucheza CAF champions.. simba lengo letu ni kuadvance ili tupambane kimataifa ndo maana sajili zetu zinaguza kila pembe ya africa ili tupate vipaji vya maana tofauti na nyie utopolo harakati zenu ni kupambania NBC ilimuendeleze pambio zenu za mabingwa wa kihistoria.... stupid... na ndo maana sajili zenu ni wakongomani tu..
Acha ujuaji we mpiga puriHaya wakongomani waliwafanyaje ?waliwapigia Sebene mkashindwa kucheza Mayele akacheza kwani kimataifa utacheza bila kufanya vizuri kwenye ligi ya NBC unayoiponda ? Basi kaeni msicheze ligi ya Tanzania tuone Kama utaenda kimataifa mshamba kweli wewe jamaa hujui mpira eh?
Kwa bahati, sijawahi kuwa na mjadala wa hoja na punguani kama wewe.Na wewe nikilaza tu ktk mpira
We hujui mpira tatizo la mashabiki wa Simba wamekariri kuwa yanga ya mwaka Jana na juzi ya kina Molinga na Yipe Ni niy kina DR Aucho .Bangala mzee wa Kazi chafu.Acha ujuaji we mpiga puri
Ni kama dereva wa bodaboda, akishapanda pale juu ya pikipiki kichwa kinajaa bangeKwahiyo hakuna mchezaji wa Yanga anaemfikia Boko?
Ama kweli kuwa msemaji wa Simba au Yanga ni kama kuwa ccm tu, hata kama una akili vipi sijui zinaendaga wapi
Kwa hiyo mi mropokaji?Mungu alinisaidia sana kutokuwa na ushabiki maandazi kama huo wa Ahmed Ally maana ni ugonjwa. Unajua kutokubali mazuri ya mwenzio kama yapo ni ugonjwa mbaya sana. Yaani shabiki wa Yanga kwa ushabiki tu wa kishabiki anaweza kukana uwezo wa Manula dhidi ya Kindoki kipindi kile yuko Yanga! Kwa shabiki wa Simba Mzamiru ni bora mara 10 kuliko Feisal Salim.
Ndo maana unaona msemaji wa timu anaamini Aucho hana Namba mbele ya Mkude na mashabiki wa Simba kwa vile ndo msemaji wao wanatoka na mabango kama unavyomuona Mropokaji Scars. Muda wote nitaendelea kuamini shabiki bora wa Simba aliyeko JF ni Gentamycine na wa Yanga ni Shadeeya. Hawa angalau wanakubali udhaifu na kusifu ubora kama upo, wengine ni bora liende.
Porojo za kupigania ugaliMsemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Nimeamini kweli U kilaza kweli,acha makasiriko tafuta pesaKwa bahati, sijawahi kuwa na mjadala wa hoja na punguani kama wewe.
Kwahivyo watafute Vifaranga wenzako yaani.