Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Kwahiyo tatizo ni kocha sio?Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tatizo ni kocha sio?Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Kama Msemaji wa Uto alivyowekwa pale kimkakati siyo.Mkuu huyo mtu ni mtu watu yupo pale kimkakati na sisi ndo tumemuweka pale.
Acha awajaze upepo tu.
Mungu alinisaidia sana kutokuwa na ushabiki maandazi kama huo wa Ahmed Ally maana ni ugonjwa. Unajua kutokubali mazuri ya mwenzio kama yapo ni ugonjwa mbaya sana. Yaani shabiki wa Yanga kwa ushabiki tu wa kishabiki anaweza kukana uwezo wa Manula dhidi ya Kindoki kipindi kile yuko Yanga! Kwa shabiki wa Simba Mzamiru ni bora mara 10 kuliko Feisal Salim.Bahati mbaya zaidi ni kuwa mchezo huu huwa unachezwa hadharani si gesti.
Nyie mbona mmeumia sana kusema hivyo?Kumbe huyu jamaa ni kilaza namna hii??
Na hakuna m hezaji wa Simba anae weza kuanza fest ileven ya yanga labda chamaMsemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Ukielewa falsafa ya wasemaje wa hizi Timu hupati shida wala mashaka hayo unayojipa.Mungu alinisaidia sana kutokuwa na ushabiki maandazi kama huo wa Ahmed Ally maana ni ugonjwa. Unajua kutokubali mazuri ya mwenzio kama yapo ni ugonjwa mbaya sana. Yaani shabiki wa Yanga kwa ushabiki tu wa kishabiki anaweza kukana uwezo wa Manula dhidi ya Kindoki kipindi kile yuko Yanga! Kwa shabiki wa Simba Mzamiru ni bora mara 10 kuliko Feisal Salim.
Ndo maana unaona msemaji wa timu anaamini Aucho hana Namba mbele ya Mkude na mashabiki wa Simba kwa vile ndo msemaji wao wanatoka na mabango kama unavyomuona Mropokaji Scars. Muda wote nitaendelea kuamini shabiki bora wa Simba aliyeko JF ni Gentamycine na wa Yanga ni Shadeeya. Hawa angalau wanakubali udhaifu na kusifu ubora kama upo, wengine ni bora liende.
What the Fact?Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Yes..yaani wewe ndo umeelewa falsafa ya hawa Wasemaji wa TimuNa hakuna m hezaji wa Simba anae weza kuanza fest ileven ya yanga labda chama
Wewe ni nani mpaka kusema Mtibwa akishinda au kutoa sare, Afisa habari wa Simba atapoteza kazi...!Jamaa mpaka aondoke Simba atakuwa mwehu 100%.
Naona kapoteza tafakari kabisa.
Maneno haya ndiyo yanawapanikisha mashabiki wachezaji na benchi la ufundi, kwa kuamini katika ubora ambao haupo.
Mtibwa akitoa sare au kushinda hata huyu atapoteza kazi!
Aucho hana namba mbele ya Mkude ndio sio uongo. Kwenye ligi hii hakuna midfielder anapiga pasi kama mkude. Labda ungesema kanouteMungu alinisaidia sana kutokuwa na ushabiki maandazi kama huo wa Ahmed Ally maana ni ugonjwa. Unajua kutokubali mazuri ya mwenzio kama yapo ni ugonjwa mbaya sana. Yaani shabiki wa Yanga kwa ushabiki tu wa kishabiki anaweza kukana uwezo wa Manula dhidi ya Kindoki kipindi kile yuko Yanga! Kwa shabiki wa Simba Mzamiru ni bora mara 10 kuliko Feisal Salim.
Ndo maana unaona msemaji wa timu anaamini Aucho hana Namba mbele ya Mkude na mashabiki wa Simba kwa vile ndo msemaji wao wanatoka na mabango kama unavyomuona Mropokaji Scars. Muda wote nitaendelea kuamini shabiki bora wa Simba aliyeko JF ni Gentamycine na wa Yanga ni Shadeeya. Hawa angalau wanakubali udhaifu na kusifu ubora kama upo, wengine ni bora liende.
Hakuna mchezaji anaemzidi Litombo bangala pasi na ndio mchezaji alieweka rekodi ya kupiga pasi nyingi kwenye mchezo mmojaAucho hana namba mbele ya Mkude ndio sio uongo. Kwenye ligi hii hakuna midfielder anapiga pasi kama mkude. Labda ungesema kanoute
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyu ni Yanga pure, anawazuga Simba tu.Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
kwahiyo nani anaweza kuingia kikosi cha kwanza? Hakuna.Ukishakuwa mpiga zumari wa Makolo FC akili huwa zinaruka unakuwa pimbi.
Nawe tathimini na ujitathimini mwenyewe utajua tu.kwahiyo nani anaweza kuingia kikosi cha kwanza? Hakuna.
Halafu kumbe yule zuzumwwnzio Manara ni pimbi?
kwani mbeya city walikuwa wanacheza au ilikuwa kikundi cha wachezaji walikuwa wamejikusanya golini kuzuia wasifungwe. Huku wakipiga mpira uende mbele.Kwa mchezo ule waliocheza na mbeya city?