"Hakuna mchezaji wa yanga sc anayeweza kuanza kwenye first eleven ya simba sc" - Ahmed ally

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... kwaio mimi MZEE WA BWAKSI ni miongoni mwa wale mashabiki maandazi wa Simba SC?? Acha kututukana jamaa
 
Hana baya Msemaji wa Mabingwa Nchi Simba SC, kasema ukweli yaani..!

Ukija kiungo wa chini, Aucho hawezi kumweka bechi Mkude wala Lwanga na ukija kiungo wa juu, Aucho hawezi kumweka bechi Chama wala Kanoute.
Na wewe nikilaza tu ktk mpira
 
Tuache ushabiki mimi mwenyewe shabiki wa Simba kwenye hili namkataa. It is high time we need to promote and transform to professionalism kwenye soka letu, lakini, wapi bwana!!! Mambo yaleyale kila uchwao. Sa' sijui tatizo ni sisi mashabiki labda? Maana mienendo ya maisha yetu karibu katika kila kitu tumezoea urejareja/uhuni.
 
Mkuu mimi ni Yanga,mzee wa fact kabisa,siyo shabiki aandazi
 
Hakuna mchezaji anaemzidi Litombo bangala pasi na ndio mchezaji alieweka rekodi ya kupiga pasi nyingi kwenye mchezo mmoja
source. @mpira takwimu
Unaweza kumwita pass Master wa ligi yetu, jamaa anapiga pass kama yule Xavier Hernandez Creus( Xavi) yule kiungo bora kabisa kutokea pale katika viunga vya mji wa Catalunya
 
Haya wakongomani waliwafanyaje ?waliwapigia Sebene mkashindwa kucheza Mayele akacheza kwani kimataifa utacheza bila kufanya vizuri kwenye ligi ya NBC unayoiponda ? Basi kaeni msicheze ligi ya Tanzania tuone Kama utaenda kimataifa mshamba kweli wewe jamaa hujui mpira eh?
 
Acha ujuaji we mpiga puri
 
Kwahiyo hakuna mchezaji wa Yanga anaemfikia Boko?

Ama kweli kuwa msemaji wa Simba au Yanga ni kama kuwa ccm tu, hata kama una akili vipi sijui zinaendaga wapi
Ni kama dereva wa bodaboda, akishapanda pale juu ya pikipiki kichwa kinajaa bange
 
Kwa hiyo mi mropokaji?
 
Kwa bahati, sijawahi kuwa na mjadala wa hoja na punguani kama wewe.

Kwahivyo watafute Vifaranga wenzako yaani.
Nimeamini kweli U kilaza kweli,acha makasiriko tafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…