Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Kuvaa hajui kabisa yani
 
Wanaume Wa Dar . kukalia Majungu tu na Umbea.. Na Wivu wa Kijinga
 
ni kweli jamaa anafanya sivyo ni bira angetoa ushauri
 
Sina bifu nao ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba wananguo mbaya na ukiona mtu ananunua nguo hapo basi jua fika naye hajui kuvaa.
Kwahiyo sie tunatembea uchi au. Acha kejeli dogo. Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
 
Mkuu una wivu Sana jamaa nguo zake nzuri Sana by the way uache wivu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…