Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Kuhusu Sam Misago kwa kweli jamaa bana anajitahidi aendane na wakati lakini nguo zake huwa hazimpendezi kwa kweli,sijui body yake haisapoti pamba au mpangilio mbovu? hata Millard Ayo naye kwenye mavazi 0%,sio vizuri kumsema mtu but hawa ni public figure/celebrities wanatakiwa kuwa nadhifu muda wote.
Kuvaa hajui kabisa yani
 
Wanaume Wa Dar . kukalia Majungu tu na Umbea.. Na Wivu wa Kijinga
 
Tutajuaje kama kwel ww unajua kuvaa!!!! Kama ww ndiyo huyo kwenye hiyo plofile uliyoweka ww nae uko nyuma tu kama hao unaowaharibia ukulaji wao,halafu huko ni kuharibia biashara kwa makusud kabisa ndugu, kwann usingeanzisha Uzi kwa kuwaomba kuwashauri walete nguo nzur nzur siyo kuiponda biashara yao yaan hapa jf kwa huu Uzi wako nan sasa ataenda kununu Nguo hapo!!? Yaan ww jamaa sijui una bifu nao dah!!!
ni kweli jamaa anafanya sivyo ni bira angetoa ushauri
 
Sina bifu nao ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba wananguo mbaya na ukiona mtu ananunua nguo hapo basi jua fika naye hajui kuvaa.
Kwahiyo sie tunatembea uchi au. Acha kejeli dogo. Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
 
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.

Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.


Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Mkuu una wivu Sana jamaa nguo zake nzuri Sana by the way uache wivu mkuu
 
Back
Top Bottom