Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu aliyefikia umri wa kwenda dukani kwa hela yake afu hajui kuvaa ?
Kuvaa hajui kabisa yaniKuhusu Sam Misago kwa kweli jamaa bana anajitahidi aendane na wakati lakini nguo zake huwa hazimpendezi kwa kweli,sijui body yake haisapoti pamba au mpangilio mbovu? hata Millard Ayo naye kwenye mavazi 0%,sio vizuri kumsema mtu but hawa ni public figure/celebrities wanatakiwa kuwa nadhifu muda wote.
Nilishaingia kwenye hayo maduka sijaona hata kiatu cha kununua..
Inabidi haya maduka ayahamishie shinyanga au chato huko. Atapoga sana pesa.
Huyu mmiliki ni msukuma?????
ni kweli jamaa anafanya sivyo ni bira angetoa ushauriTutajuaje kama kwel ww unajua kuvaa!!!! Kama ww ndiyo huyo kwenye hiyo plofile uliyoweka ww nae uko nyuma tu kama hao unaowaharibia ukulaji wao,halafu huko ni kuharibia biashara kwa makusud kabisa ndugu, kwann usingeanzisha Uzi kwa kuwaomba kuwashauri walete nguo nzur nzur siyo kuiponda biashara yao yaan hapa jf kwa huu Uzi wako nan sasa ataenda kununu Nguo hapo!!? Yaan ww jamaa sijui una bifu nao dah!!!
Nimefika
Nilitegemea kuona comment yako! Katika huu uziNimefika
Mimi huwa mpenzi msomaji. Km vitu sivifahamu huwa nawaachia wenzangu.Nilitegemea kuona comment yako! Katika huu uzi
Kwahiyo sie tunatembea uchi au. Acha kejeli dogo. Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yakeSina bifu nao ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba wananguo mbaya na ukiona mtu ananunua nguo hapo basi jua fika naye hajui kuvaa.
Bro... Kila jukwaa upo mzee... I salute you.Wewe mjanja unanunua wapi nguo?
Dah miguu hyo mwajuma[emoji7] [emoji7]Nimefika
Hance Mtanashati alikunang'a asubuhi, nilitegemea ulipize kwa hii sredi ila kimyaMimi huwa mpenzi msomaji. Km vitu sivifahamu huwa nawaachia wenzangu.
Mkuu una wivu Sana jamaa nguo zake nzuri Sana by the way uache wivu mkuuTuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.
Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.
Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Huo utoto sinaHance Mtanashati alikunang'a asubuhi, nilitegemea ulipize kwa hii sredi ila kimya