Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Unamaanisha ni walewale mh aliosema tutoe taarifa zao waanze kushughulikiwa?Unapenda sana kupondea mkuu wasi wasi unanizidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha ni walewale mh aliosema tutoe taarifa zao waanze kushughulikiwa?Unapenda sana kupondea mkuu wasi wasi unanizidia.
Kuhusu Sam Misago kwa kweli jamaa bana anajitahidi aendane na wakati lakini nguo zake huwa hazimpendezi kwa kweli,sijui body yake haisapoti pamba au mpangilio mbovu? hata Millard Ayo naye kwenye mavazi 0%,sio vizuri kumsema mtu but hawa ni public figure/celebrities wanatakiwa kuwa nadhifu muda wote.
Unishtue na mimSijawahi ingia kwenye hayo maduka ila mbona watu wanasifia jeans zao ni nzuri? Au ndo uzuri wa kitu uko kwa mtu? Nitaenda na mimi nikashuhudie
Unishtue na mim
Pale nasikia ukienda na laki unatoka na mfuko umejaa...hakuna kinachovuka 20 sijui ni kwel au promo tuUtaninunulia short ya jeans na raba?
Pale nasikia ukienda na laki unatoka na mfuko umejaa...hakuna kinachovuka 20 sijui ni kwel au promo tu
Nguo zao wanatoa k.koo,
Kiufupi nguo nyingi kinondoni siku hizi ni za kawaida sana.
Ukitaka nguo nzuri nenda Splash au Max,
Mi huwa nafanya shopping ya nguo mara mbili kwa mwaka. Naweka bajeti yake kabisaa
Jinsi ziliopasuka pasuka ovyo ovyo!Kwani nguo mbaya ni zipi wakuu mtusaidie na sie
Jinsi ziliopasuka pasuka ovyo ovyo!
Aisee Max nilishakata nako tamaa kabisa. Naona bora mtumba tu huku madukani shida sana. Halafu kweli nguo nyingi za maboutique ziko kkoo
Kwann ulikata tamaa?
Sizielewi tu.
Comment zako kama hizi za busara nitazipata wapi tofauti na humu?🙂🙂Huo utoto sina
Mtu ukiwa mwembamba sana ukivaa hupendezi. Hata wanawake wembamba sana hawapendezagi
I guess wasi wasi wa gender ya mtoa mada,mtoa mada ni man lkn kimtazamo inaonekana watu washamfumua marindaUnapenda sana kupondea mkuu wasi wasi unanizidia.