Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Mtu ukiwa mwembamba sana ukivaa hupendezi. Hata wanawake wembamba sana hawapendezagi
Kuhusu Sam Misago kwa kweli jamaa bana anajitahidi aendane na wakati lakini nguo zake huwa hazimpendezi kwa kweli,sijui body yake haisapoti pamba au mpangilio mbovu? hata Millard Ayo naye kwenye mavazi 0%,sio vizuri kumsema mtu but hawa ni public figure/celebrities wanatakiwa kuwa nadhifu muda wote.
 
Nguo zao wanatoa k.koo,

Kiufupi nguo nyingi kinondoni siku hizi ni za kawaida sana.

Ukitaka nguo nzuri nenda Splash au Max,

Mi huwa nafanya shopping ya nguo mara mbili kwa mwaka. Naweka bajeti yake kabisaa
 
Aisee Max nilishakata nako tamaa kabisa. Naona bora mtumba tu huku madukani shida sana. Halafu kweli nguo nyingi za maboutique ziko kkoo
Nguo zao wanatoa k.koo,

Kiufupi nguo nyingi kinondoni siku hizi ni za kawaida sana.

Ukitaka nguo nzuri nenda Splash au Max,

Mi huwa nafanya shopping ya nguo mara mbili kwa mwaka. Naweka bajeti yake kabisaa
 
We jamaa kavu sana..hii mara ya pili naona post zako ni za kudiss tu
Kuna sehemu nmekuta unamuongelea dada mmoja humu kwamba chumba chake kichafu hakina tiles...
Acha udume jike
 
Back
Top Bottom