Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro".
Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanamke "amini hana hela".
Tafuteni hela vijana, kumhudumia mwanamke ni kitu ya asili and that's nature.
Nature inasema, mwanamke anapaswa ahudumiwe na mwanaume, haijalishi nini yani.
Ebu hudumieni wanawake zenu maze.
Pia soma: Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako