realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Yesu 😜Hapo ni enzi zangu nikiwa kijana..😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu 😜Hapo ni enzi zangu nikiwa kijana..😜
Wanaume sio wajinga, ndio maana ukisoma comments utaona mtoa mada anaungwa mkono zaidi na wanawake.Mtoa mada yuko sahihi tafuta pesa acha kuwapangia wanaume wenzako namna ya kutumia za kwao
Aise kwahiyo wewe unadhani walioko huku jf ndio wanaume pekee dunia nzima, sisi hatuongelei comments za jf tunaongelea uhalisia tunaouona huko kwenye jamii maana humu yeyote anaweza andika lolote, huko nje wanaume wenzio wanahonga pesa na mali kama hawana akili nzuri kwa sababu ya k tuWanaume sio wajinga, ndio maana ukisoma comments utaona mtoa mada anaungwa mkono zaidi na wanawake.
Ukireply comment yangu uwe unafupisha maelezo, nishakua famous hapa kwenye hili jukwaa, nina notifications za reply, mentions na qoutes nyingi sana sina muda wa kusoma maelezo marefu.Aise kwahiyo wewe unadhani walioko huku jf ndio wanaume pekee dunia nzima, sisi hatuongelei comments za jf tunaongelea uhalisia tunaouona huko kwenye jamii maana humu yeyote anaweza andika lolote, huko nje wanaume wenzio wanahonga pesa na mali kama hawana akili nzuri kwa sababu ya k tu
Halafu wewe unajifanya eti unashinda humu unawashauri unadhani wao hawajui wanachokifanya au unadhani hawajui hizo tabia mbovu za wanawake, wanazijua sana ila siku zote huwa ni ngumu kumshauri mwanaume mwenye pesa juu ya ngono na mahusiano, maana huwa mnasema wenyewe kwamba kichwa cha chini kikishaamka cha juu huwa hakifanyi kazi tena
Kwahivyo kabla ya kuwatukana wanawake jifunzeni kwanza namna ya kucontrol hivyo vichwa vyenu vya chini vinginevyo wataendelea kuwapelekesha na mtaendelea kuwahonga, hamna namna maana mmeshaamua kujiendekeza na kuwaonesha kwamba ngono ni kila kitu kwenu na ndio udhaifu wenu mkubwa, by the way mbona huwakemei na wanaume wanaohongwa na mishangazi na wewe ukiwa mmoja wapo kwani wana utofauti gani na wanawake wanaohongwa na wanaume au ndio unafiki tu
Mkuu, mbona hiyo sentensi ina ukakasi?!!Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanaume "
Mademu zetu watasupport sana huu uzi😃Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro".
Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanaume "amini hana hela".
Tafuteni hela vijana, kumhudumia mwanamke ni kitu ya asili and that's nature.
Nature inasema, mwanamke anapaswa ahudumiwe na mwanaume, haijalishi nini yani.
Ebu hudumieni wanawake zenu maze.
Pia soma: Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako
Dah,...huwa mnasema wenyewe kwamba kichwa cha chini kikishaamka cha juu huwa hakifanyi kazi tena
Hahaha stress mbaya sana asee hebu tafuta pesa acha hizi ndoto za kipumbavu, kwa u famous gani uliokuwa nao hebu msitake watu tuongee vitu vibaya hapa mkapanic na kuanza kututukana, jifunze kusema umeshindwa hoja na mada imekuzidi uwezo mbona ni kitu simple tuUkireply comment yangu uwe unafupisha maelezo, nishakua famous hapa kwenye hili jukwaa, nina notifications za reply, mentions na qoutes nyingi sana sina muda wa kusoma maelezo marefu.
Reply yako sijaisoma, baki na ubishi wako.
Hela natafuta na nahudumia kwa terms zangu mkuu.Tafuta hela mkuu, haya niyanenayo utakuja kuyatambua ukikua
Nimeshakwambia cha kufanya, ukiendelea kureply comments zangu na magazeti yako unajisumbua tu.Hahaha stress mbaya sana asee hebu tafuta pesa acha hizi ndoto za kipumbavu, kwa u famous gani uliokuwa nao hebu msitake watu tuongee vitu vibaya hapa mkapanic na kuanza kututukana, jifunze kusema umeshindwa hoja na mada imekuzidi uwezo mbona ni kitu simple tu
Kwa sasa dunia imeshaondoka uko kwenye nature, kila kitu kinafanyika baada ya kujuliza "kwanini?".Terms and conditions ni jambo la maana katika maisha ya kila siku, lakini mwanaume kumhudumia/kumpa pesa mwanamke ni tendo la asili.
Na hauwezi ukaikimbia nature mazee
Na ni jukumu la nani kumpa chiu kijana ambae hajaoa?Usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu
Ni jukumu la baba kumhudumia binti yake ambaye hajaolewa