Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Girlfriend wakeNa ni jukumu la nani kumpa chiu kijana ambae hajaoa?
Huyo gelofrendi sabuni ya kutawazia manii yako akachukue kwa baba yake?Girlfriend wake
Inapohusu GF na BF ni urafiki wa kimapenzi sio ndoa kama mume na mke ambapo mwanaume lazima awajibike kumhudumia mkeHuyo gelofrendi sabuni ya kutawazia manii yako akachukue kwa baba yake?
Kumpa uchi au kupeana uchi?Na ni jukumu la nani kumpa chiu kijana ambae hajaoa?
Confession: Mimi binafsi namlaga mke wako.Kuchapiwa hakunaga formula ni automatically tu ngoma himo.........
Police anachapiwa
Mjeshi anachapiwa
Muuza genge naye anachapiwa
Doctor anachapiwa
Boda boda anachapiwa
Jobless nao wanachapiwa
Walala hoi nao wanachapiwa
Masheshe wanachapiwa
Mim binafsi nishakula demu wa Mganga..........
KupeanaKumpa uchi au kupeana uchi?
Huyo bf nae akachukue kwao hayo mapenzi, amuache binti wa watu mpaka ndoa ndo waanze kupeana huduma 'mbalimbali'Inapohusu GF na BF ni urafiki wa kimapenzi sio ndoa kama mume na mke ambapo mwanaume lazima awajibike kumhudumia mke
Kwa sasa hivi wapeane mapenzi, huduma mpaka ndoa mbona vitu simple tuHuyo bf nae akachukue kwao hayo mapenzi, amuache binti wa watu mpaka ndoa ndo waanze kupeana huduma 'mbalimbali'
Umeandika pumbaInapohusu GF na BF ni urafiki wa kimapenzi sio ndoa kama mume na mke ambapo mwanaume lazima awajibike kumhudumia mke
Aziz Ki anaweza mpe hela MABETO?Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro".
Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanamke "amini hana hela".
Tafuteni hela vijana, kumhudumia mwanamke ni kitu ya asili and that's nature.
Nature inasema, mwanamke anapaswa ahudumiwe na mwanaume, haijalishi nini yani.
Ebu hudumieni wanawake zenu maze.
Pia soma: Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako
Yaani wewe inapohusu kutompa hela mwanamke unakuwaga mkali sana 🤣Umeandika pumba
Asipotoa hela aende kwao kuchukua mapenziKwa sasa hivi wapeane mapenzi, huduma mpaka ndoa mbona vitu simple tu
View attachment 3085413
Jamani ha haa sa si ungetusalimia tu mkuuHiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.