King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Case Closed.Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanamke "amini hana hela".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Case Closed.Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanamke "amini hana hela".
Wapo huko mnapewa utelezi bureHii case ya kuhonga ina apply kwa wanaume walio oa tu, mwanaume bachelor anagombaniwa na kupewa mzigo bureee ili atangaze ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise kwahiyo wewe unadhani walioko huku jf ndio wanaume pekee dunia nzima, sisi hatuongelei comments za jf tunaongelea uhalisia tunaouona huko kwenye jamii maana humu yeyote anaweza andika lolote, huko nje wanaume wenzio wanahonga pesa na mali kama hawana akili nzuri kwa sababu ya k tu
Halafu wewe unajifanya eti unashinda humu unawashauri unadhani wao hawajui wanachokifanya au unadhani hawajui hizo tabia mbovu za wanawake, wanazijua sana ila siku zote huwa ni ngumu kumshauri mwanaume mwenye pesa juu ya ngono na mahusiano, maana huwa mnasema wenyewe kwamba kichwa cha chini kikishaamka cha juu huwa hakifanyi kazi tena
Kwahivyo kabla ya kuwatukana wanawake jifunzeni kwanza namna ya kucontrol hivyo vichwa vyenu vya chini vinginevyo wataendelea kuwapelekesha na mtaendelea kuwahonga, hamna namna maana mmeshaamua kujiendekeza na kuwaonesha kwamba ngono ni kila kitu kwenu na ndio udhaifu wenu mkubwa, by the way mbona huwakemei na wanaume wanaohongwa na mishangazi na wewe ukiwa mmoja wapo kwani wana utofauti gani na wanawake wanaohongwa na wanaume au ndio unafiki tu
UongoooooHii case ya kuhonga ina apply kwa wanaume walio oa tu, mwanaume bachelor anagombaniwa na kupewa mzigo bureee ili atangaze ndoa.
Unataka sanamu lako like linakula kitimoto na mondeLijengewa Dom, Uzunguni, Waswanu pale pembeni ya jiko la kitimoto...😋
Ujue unaweza kuwa na 50M kwa bank acc . ila Mr man akikupa hata buku kuna ka feelin fulani .🤣🤣🤣Mwenyekiti uko makini sana na viumbe wenye upendo kama mleta mada
And that's the meaningful of love...😍Ujue unaweza kuwa na 50M kwa bank acc . ila Mr man akikupa hata buku kuna ka feel fulani .
Tena kaje bila kuomba na kaje akijua unazo za kutosha ila amejidikia tu kukutumia tu ule azam ukwaju😁.
Zile za gesi imeisha luku imekata leo sina hela ya kula zipigwe marufuku zinatuzalilisha😁😁
Mi nasemaga kila siku hela ya baby hadi ina kaharufu flan hivi amazing....ila nyie Yesu awatunze wanaume wote wenye roho ya nzuri...yaani mtoto wa mtu anakujali utasema kakuzaa khaa😄Ujue unaweza kuwa na 50M kwa bank acc . ila Mr man akikupa hata buku kuna ka feelin fulani .
Tena kaje bila kuomba na kaje akijua unazo za kutosha ila amejisikia tu kukutumia ule azam ukwaju😁.
Zile za gesi imeisha luku imekata leo sina hela ya kula zipigwe marufuku zinatuzalilisha😁😁
🤣🤣🤣🤣nimechekaa,wajumbe naona mnapenda sana wqtu wenye moyo kama huuNdio ndio Mh tunamalizia kuzipakia 😂😂
Sasa je! 😂😂🤣🤣🤣🤣nimechekaa,wajumbe naona mnapenda sana wqtu wenye moyo kama huu