Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Bure kabisa??? Labda nyeto
Ndio k za bure zipo nyingi tu, mm ni shuhuda, kumpa hela ni wewe mwanaume uamue kumpa, au akiwa na shida imembana kweli ndo atakuomba, sio hawa wadada wengine wanaoomba kwa nia ya kumkomoa Kapeace
 
Ndio k za bure zipo nyingi tu, mm ni shuhuda, kumpa hela ni wewe mwanaume uamue kumpa, au akiwa na shida imembana kweli ndo atakuomba, sio hawa wadada wengine wanaoomba kwa nia ya kumkomoa Kapeace
Mzee wa kupambania hataki amani uzi wa kupewa hela kashaanza nongwa zake
 
Kuchapiwa hakunaga formula ni automatically tu ngoma himo.........
Police anachapiwa

Mjeshi anachapiwa

Muuza genge naye anachapiwa

Doctor anachapiwa

Boda boda anachapiwa

Jobless nao wanachapiwa

Walala hoi nao wanachapiwa

Masheshe wanachapiwa

Mim binafsi nishakula demu wa Mganga..........
Hata jamii za kina Mauki, mwaka na wataalamu wa mahusiano pia wanachapiwa
 
Ndio k za bure zipo nyingi tu, mm ni shuhuda, kumpa hela ni wewe mwanaume uamue kumpa, au akiwa na shida imembana kweli ndo atakuomba, sio hawa wadada wengine wanaoomba kwa nia ya kumkomoa Kapeace
Wanaume huwa hatupewi bure kamwe. Utalipa kwa pesa au muda wako au nguvu zako kulingana na ulichonacho kati ya hivyo hapo. Ndoa pia ni glorified prostitution. Whatever route it takes the end justifies the name, sex in exchange for resources.
 
Inategemea sana, binafsi nakunyima live. I only give kama kuna win-win situation. Ila hivi tu, nimeacha hiyo tabia mbaya.
 
kuna muda unakuta mtu ana shida ngumu kweli kweli unaona huruma

tunasaidia kadri ya uwezo wetu, tatizo uwezo wetu ni mdogo sisi maskini

ni sawa tu nyie matajiri endeleeni kufaidi

ila maskini akiendekeza 'kuhudumia' atalala njaa
Gonga msumari hapo, angalia uwezo wako.

Bahati mbaya wengi wao hawaridhiki, wanawapanga wanaume wa kuwapa pesa, hawajatulia na Bwana mmoja. Unahudumia mtu kwa moyo wako wote then unashangaa kumbe mmewekwa kwa kapu moja watatu.
 
Back
Top Bottom