Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Mwanzo umeanza vizuri kwamba tumesema hatuwezi kuhudumia wanawake ambao sio wake zetu kumaanisha tutahudumia ila wake zetu lakini mwishoni unatushauri tuhudumie wanawake zetu.

Wanawake zetu ni wapi hao?
 
Kumbe humu anaepigwa hela ni mimi peke yangu nyie wengine wote ni wajuaji hamtoi hela kizembe
 
Hiyo nature yako haisemi mambo mengine ya msingi zaidi ya kuhamasisha uhongaji?

Hiyo nature ichunguzwe upya.
 
Kuchapiwa hakunaga formula ni automatically tu ngoma himo.........
Police anachapiwa

Mjeshi anachapiwa

Muuza genge naye anachapiwa

Doctor anachapiwa

Boda boda anachapiwa

Jobless nao wanachapiwa

Walala hoi nao wanachapiwa

Masheshe wanachapiwa

Mim binafsi nishakula demu wa Mganga..........
Confession: Mimi binafsi namlaga mke wako.
 
Inapohusu GF na BF ni urafiki wa kimapenzi sio ndoa kama mume na mke ambapo mwanaume lazima awajibike kumhudumia mke
Huyo bf nae akachukue kwao hayo mapenzi, amuache binti wa watu mpaka ndoa ndo waanze kupeana huduma 'mbalimbali'
 
Huyo bf nae akachukue kwao hayo mapenzi, amuache binti wa watu mpaka ndoa ndo waanze kupeana huduma 'mbalimbali'
Kwa sasa hivi wapeane mapenzi, huduma mpaka ndoa mbona vitu simple tu
20231215_075429.jpg
 
Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.

Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro".

Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanamke "amini hana hela".
Tafuteni hela vijana, kumhudumia mwanamke ni kitu ya asili and that's nature.

Nature inasema, mwanamke anapaswa ahudumiwe na mwanaume, haijalishi nini yani.

Ebu hudumieni wanawake zenu maze.

Pia soma: Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako
Aziz Ki anaweza mpe hela MABETO?
 
Binafsi niliwahi kushuhudia one of the richest man Tz akimpea Ke 30 millions Tsh.
Hakika nilishangaa sana, na nilipokua mkubwa nilikuja gundua kwamba that's nature.
Mmh mtaje huyo jamaa aliehonga 30 million hata kwa code tu Ushimen
 
Back
Top Bottom