Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Hizi ndio nyuzi ambazo Kina Zemanda na Natafuta Ajira hawapendi kuzionaa
Hizi ndizo nyuzi ambazo nazitaka na usisite kunitag kila unapoziona, kwa sababu mimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwaokoa masimp kama huyu mleta mada, mimi ni kama dokta hospitali nipo kwa ajiri ya kutibu wagonjwa sasa kusipokua na wagonjwa hakutakua na uhitaji wangu tena
 
kuna muda unakuta mtu ana shida ngumu kweli kweli unaona huruma

tunasaidia kadri ya uwezo wetu, tatizo uwezo wetu ni mdogo sisi maskini

ni sawa tu nyie matajiri endeleeni kufaidi

ila maskini akiendekeza 'kuhudumia' atalala njaa
 
Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro".
Nasema hivi.....
Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kuto kumuhudumia mwanaume "amini hana hela".
Tafuteni hela vijana, kumhudumia mwanamke ni kitu ya asili and that's nature.
Nature inasema....
Mwanamke anapaswa ahudumiwe na mwanaume, haijalishi nini yani.
Ebu hudumieni wanawake zenu maze....
🌷🌷🌷Maua yako
 
Hizi ndizo nyuzi ambazo nazitaka na usisite kunitag kila unapoziona, kwa sababu mimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwaokoa masimp kama huyu mleta mada, mimi ni kama dokta hospitali nipo kwa ajiri ya kutibu wagonjwa sasa kusipokua na wagonjwa hakutakua na uhitaji wangu tena
Mtoa mada yuko sahihi tafuta pesa acha kuwapangia wanaume wenzako namna ya kutumia za kwao
 
Back
Top Bottom