Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Hii case ya kuhonga ina apply kwa wanaume walio oa tu, mwanaume bachelor anagombaniwa na kupewa mzigo bureee ili atangaze ndoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣Mwenyekiti uko makini sana na viumbe wenye upendo kama mleta mada
Ujue unaweza kuwa na 50M kwa bank acc . ila Mr man akikupa hata buku kuna ka feelin fulani .
Tena ije bila kuomba na ije akijua unazo za kutosha ila amejisikia tu kukutumia ule azam ukwaju😁.

Zile za gesi imeisha luku imekata leo sina hela ya kula zipigwe marufuku zinatuzalilisha😁😁
 
And that's the meaningful of love...😍
 
Mi nasemaga kila siku hela ya baby hadi ina kaharufu flan hivi amazing....ila nyie Yesu awatunze wanaume wote wenye roho ya nzuri...yaani mtoto wa mtu anakujali utasema kakuzaa khaa😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…