Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Kwani alishaachana na yule mkewe mzungu?

Lakini, haya sio maigizo kweli? Mbona eneo liko hovyo sana kwa event ya uvishwaji pete?

Hata hivyo hongera kwao.
Sasa wewe ukituuliza sisi Nifer unatukosea sana...
 
Back
Top Bottom