Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Huyo bibie nguo imembana mno,anashindwa kuhema jaman🤦

Wewe unaesema mandown...hivi unajua raha ya kusex na wanawake wembamba? Hakuna inapokwama!
Ila gubu ndiyo ananyoka nalo
Ila wanawake wembamba,Mungu awalinde,,naomba niwagaie mbingu yangu...sio kwa utamu huu ninaoupata..yaani ni double kwa Maza house na mchepuko.
 
Kwa nyie Kataa ndoa bora muendelee kutafuta hela ili ukioa usiwe na hofu ya kugawana Mali na Mkeo.

Maana ndiyo kitu mnachoogopa

Wakati mnaanza maisha ya Ndoa una orodhesha Kila kitu ulichonacho ili Mkeo akija mnaanza upya
Babu mimi sio kataa ndoa naomba nikusahihishe hapo.
 
Ongea nae au ongea na wazee wenzio umtafutie mjukuu wa kike alietulia aoe.
Hakika nitafanya hivyo, maana ukiwa Baba unatamani kuona Vijana wako wote wa kiume wanaoa na kupata wake wazuri

Sasa unakaa na Kijana wako, hadi anafika miaka 40 hana mpango wa Kuoa, kama Baba lazima ubaki na huzuni
 
Dume lenye makende makuuubwa na mazito anapiga magoti ...,[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kupitia mitandao ya kijamii ndio unapata kujua kuwa watu wanapitia magumu maishani mwao kupitia comment zao......na hizi ndio sehemu pekee kwao ya kutoa msongo wa mawazo na hasira zao.........

Imagine mtu anakuwa bitter hata kwa mtu asiyemjua na wala hajali uwepo wake......

Sentence moja tu ya kumtakia mwenzako kheri inakuwa paragraph nzima ya kulaani, kulaumu, kutukana na hata kumuombea mabaya kiumbea mwenzio......

Lakini nimejifunza kuwa ukimuona mtu hamjuani na wala hamfahamiani lakini yupo mkali mkali usimchukie bali unapaswa kumuonea huruma......
 
Wewe una maisha mazuri? Unawapangia watu namna na jinsi ya kutoa maoni, mbona utateseka sana,.hii forum ina watu zaidi ya malaki huko, inakaribia milioni, wote hao unataka kuwapangia wachangiaje na kutoa maoni yao, unadhibitisha kwa namna ipi uchumi wa mtu kwa kupitia koment yake..hapa ni uhuru wa maoni na kila mtu ana uhuru wa maoni yake , kama.wewe unaishi duniani huku unataka kila.mtu afanye unavyotaka wewe utateseka sana , na utateseka zaidi na kujidanganya kua wasiotoa maoni unayoyataka wewe ndio wana maisha magumu...grow the fak up!
 
Hahahhahaa!!.....Sawa ndugu
 
Back
Top Bottom