Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Ukikongwe wa Salim Kikeke umeanza tangu lini? Mwanaume hadi miaka 90 unavuta mzigo mpya wa kukupatia joto bila shida kabisa. Cha msingi kuwa na Mali za kumrithisha.
Ila wanawake wengine wana roho ngumu! Hivi unapataje hisia ama kumoenda mzee ngozi imejaa makunyanzi halafu unalala naye! Duh! Wanawake wengine siyo michezo!
 
Uyo demu kweli alikuwa single ?

Kuna mchiji jobless na kijana mwenzetu kapigwa tukio dah!
 
Back
Top Bottom