Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kuanza kututisha Wazee ili tusioe kisha baridi lituue 😜We sema 70 uje upigwee matukio uwaachie watu mzigo wa kikokotoo
SawaUnachanganyikiwa Haraka Sana Kama Umekunywa Rubisi
Mhhh..Fursa ya kuwa Mwanaume hiyo "I will marry when I want"
Mwanaume unaweza Kuoa ukiwa na miaka 23 ama 70, muhimu kuchanga karata zako vizuri
Kuna mambo kadhaa Wanaume huwa tunayazingatia kabla ya kufanya uamuzi wa Kuoa.Mhhh..
Hizo karata unazichangaje vizuri!? Na unajuaje km ushazichanga vizuri!? Mambo ya ndoa navona hayatabiriki
Ndio tulivyo atii 😅Sawa lakini sisi wanawake tuna kaunafki flani hv yaani mtu sio mara ya kwanza kumvisha mwanamke pete alfu eti mkono mdomoni kama vile anashangaa ni surprise kama vile ndio wa kwanza mpyaaa🤭
Lkn formula huwa zinakataa. No matter what. Ubahatike tuKuna mambo kadhaa Wanaume huwa tunayazingatia kabla ya kufanya uamuzi wa Kuoa.
Mambo hayo Kwa sehemu kubwa uki-mess ndiyo huleta shida kwenye Ndoa hata kama umeona ukiwa na umri wangu wa miaka 78😜
Huyo bibie nguo imembana mno,anashindwa kuhema jaman🤦
Wewe unaesema mandown...hivi unajua raha ya kusex na wanawake wembamba? Hakuna inapokwama!
Ila gubu ndiyo ananyoka nalo
Hopefully wewe ni mwembamba
Ni sahihi kabisa, ukibahatika maisha yako yote ya mahusiano yanakuwa raha mustareheLkn formula huwa zinakataa. No matter what. Ubahatike tu
Mwanamke ni nani?Walianza Kwa kuhojiana
Ni wazungu wachache sana wanakubali kuja bongoSidhani kama alikuwa hajaoa maana niliwahi kusikia alikuwa na mke mzungu london.... Huenda huyu mke wa pili unless nachanganya mafaili
Ndio. Alikuwa amemuoa Rukia Mtingwa, mtoto mzuri wa Mtaa wa Rufiji hapa Jijini Mwanza kipindi wote wakiwa ITV, lakini ndoa yao haikudumu na yeye akatimkia BBC London na Binti Mtingwa akaenda Vodacom.
Kiafrika mwanaume hampigii goti mwanamkeTayari another man downView attachment 3163537
Mwanaume bwana maana mke anakuja kuongeza ukoo na kupanua jina lenu.anayepaswa kupiga goti wakati wa kuvisha pete ni mwanamke, huyu naye anatutia aibu wanaume huku kwetu!. kwisha habari yake....unampigia magoti mwanamke kwani unaolewa wewe?