Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai!! Bye bye Salim Kikeke

Siku isiyo na jina Kuna kabinti na Mimi nitakavisha Pete Kama hivi .

Siku hiyo nitahakikisha nanyoa hivi vinywele vya pembeni ili watu wasijue nina kipara na mvi alafu ,nitanunua na kamkanda kale ka wadada ka kubana tumbo nibane tumbo langu ili nionekane Sina kitambi kikubwa ila ni gentleman .

Najaribu kuimagine hiyo siku sijui ,itakuwaje yaani.

Nitakunywa kistaarabu ,na pia nitakula kistaarabu mpaka marafiki zangu wataikumbuka hii siku nakutamani siku zote niwe hivyo.
 
Back
Top Bottom