GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kwenye karata hapo sasaFursa ya kuwa Mwanaume hiyo "I will marry when I want"
Mwanaume unaweza Kuoa ukiwa na miaka 23 ama 70, muhimu kuchanga karata zako vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye karata hapo sasaFursa ya kuwa Mwanaume hiyo "I will marry when I want"
Mwanaume unaweza Kuoa ukiwa na miaka 23 ama 70, muhimu kuchanga karata zako vizuri
Best comment ever seenAlikua anajichukulia sheria mkononi mpaka sabuni zikawa zinamwita shem darling
Kama Kikeke ndo anaoa sahivi nafikiri kwa umri wangu bado sana, ngoja nisubiri subiri kidogo niendelee kushenyeta mbususuTayari another man downView attachment 3163537
Siku isiyo na jina Kuna kabinti na Mimi nitakavisha Pete Kama hivi .
Siku hiyo nitahakikisha nanyoa hivi vinywele vya pembeni ili watu wasijue nina kipara na mvi alafu ,nitanunua na kamkanda kale ka wadada ka kubana tumbo nibane tumbo langu ili nionekane Sina kitambi kikubwa ila ni gentleman .
Najaribu kuimagine hiyo siku sijui ,itakuwaje yaani.
Nitakunywa kistaarabu ,na pia nitakula kistaarabu mpaka marafiki zangu wataikumbuka hii siku nakutamani siku zote niwe hivyo.
Mambo ya kikumah sana kwa mwanaume kufanya.Mwanaume anapiga goti dah kweli dunia yaenda kasi
Weka ile picha yetu Nifah ajifunze kwetuKwani alishaachana na yule mkewe mzungu?
Lakini, haya sio maigizo kweli? Mbona eneo liko hovyo sana kwa event ya uvishwaji pete?
Hata hivyo hongera kwao.
ulimkokea moto? au uchaw.kwa ukongwe upi alionao? by the way leo vibaDu ana tatizo gani hadi anaamua kuoa akiwa kikongwe hivi?
Salumu atakuwa kaongeza mke. Sasa muislam na mambo ya kuvishana pete wapi na wapi?Unataka kusema kipindi chote hicho alikuwa hana Mke?
Kweli mambo yamebadilika, mwanaume ndiye anapiga magoti badala ya mwanamke siku hizi!!!Tayari another man downView attachment 3163537
😂😂Nilivyosoma kichwa cha habari nikajua ameleft group
😂😂😂Ona pozi la Mwizi anajifanya Yuko very surprised......
#Stay Hard.
#Stay Putinized.
Nilisema jamii sportHaa Ulisema Unapumzika JF
Jirani tuko sako kwa bakoNilisema jamii sport
Ungepambania kombe, kumbe alikuwa bado nipo kwanza.Kwani alishaachana na yule mkewe mzungu?
Lakini, haya sio maigizo kweli? Mbona eneo liko hovyo sana kwa event ya uvishwaji pete?
Hata hivyo hongera kwao.
Hapo ndiyo Mtihani Kwa kweliKwenye karata hapo sasa
Ndio. Alikuwa amemuoa Rukia Mtingwa, mtoto mzuri wa Mtaa wa Rufiji hapa Jijini Mwanza kipindi wote wakiwa ITV, lakini ndoa yao haikudumu na yeye akatimkia BBC London na Binti Mtingwa akaenda Vodacom.Unataka kusema kipindi chote hicho alikuwa hana Mke?
Unachanganyikiwa Haraka Sana Kama Umekunywa RubisiNilisema jamii sport