Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

😭😭😂😂😂 We ni mshamba Sana maskini

Mimi ni mtu wa mbeya nmekua mbeya kabila la mbeya Tena interior kabisa nafahamu ABC zote za kule

Eti umeenda shule 😂😂😭😭
Kwa hiyo? Nimekuuliza ulienda hata shule kweli wewe?
 
Maskini Mbeya?kwamba hamna chakula?kupika hatujui chukuchuku kwamba mafuta hamna??karanga,mawese,ufuta na alizeti zoote izi!unataka kusema wazaramo ndo wanatuzidi kupika!?ahahahaaa ilawatu mnachuki binafsi
Waambie haters wasifie kwao 😁😁😁
 
Ndio o level iyunga tech
Advance mzumbe secondary
Degree muhimbili
Masters University of Stellenbosch Una lingine mkuu la kuniuliza
Fala wewe shule ulienda kukuza mavuzi ndio maana unasema chukuchuki ni kutojua kupika.
 
Maskini Mbeya?kwamba hamna chakula?kupika hatujui chukuchuku kwamba mafuta hamna??karanga,mawese,ufuta na alizeti zoote izi!unataka kusema wazaramo ndo wanatuzidi kupika!?ahahahaaa ilawatu mnachuki binafsi
Sina chuki bwana sio kwamba hawajui kupika I have semantic views here kama hujaangalia point zangu za nyuma utasema na chuki look on my previous post here nmeongea Kila kitu ndo uje ku argue hapa mkuu
 
Mbeya streets.
20230326_112535.jpg
20230326_112613.jpg
20230326_112646.jpg
20230326_112655.jpg
20230326_112657.jpg
20230326_112435.jpg
20230326_120457.jpg
20230326_120525.jpg
 
Yas ni mlugaluga wa rungwe kaka mbeya moja hii. Nimekutajia maeneo nilioishi na kuona nyumba za udongo majiji makubwa. We endelea kukalili mjini kwenu kagongwa nyuma kahama

A

Karibu Igogwe Kiwira hapa ule masimbi na mbalaga kikolo...

Huko Kagongwa sijui Igusule waachie bhajanga Wasuku na Wanyamwezi...
 
Back
Top Bottom