KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Hivi ewe shoga huna KAZI ya kufanya umepakatwa TU Kila sku inatengenezwa thread unachoongea ujinga mtupu uliona wapi sehemu mnalima mnajaza mazao ndani halafu paendelee? Maana biashara ni doro jitahid uje walau morogoro Ulime uone usafirishaji upo leta dar,mwanza,Arusha na dodoma au singida,,,
Kila sehemu unaongelea shule mbna elimu yako ni ujinga mtupu Kwa kichwa umeona elite man anakomaa kuunda ukanda na ukabila Kila siku kwanza at gari najua huna Bora utafte Kaz ufanye hyo elimu yako Haina faida ni Hasara Kwa taifa na jamii inayokuzungukaNdio maana Wana Afya.Wewe umeenda hata shule?
Sehemu tamu ni pale biashara zako znalipa na sio kukaa sehemu kisa unaona uchafu Kila uchochoro au unaona mabondeWala sijalazimisha mtu,ishi unapopapenda ila Mbeya ni tamu balaa
Pamoja na hivyo vyuo but still nothing
Uhakika ukiona sehemu Wanasema vyakula chini sana jua biashara hapo doro labda ununue usafirishe mikoa ya biashara leta lake zoneSijawahi kuielewa Mbeya au Iringa Mjini.
Nafanya biashara zangu Tunduma, Makambako, na Mafinga na sijawahi kuielewa Mbeya wala Iringa mjini.
Hiz sehemu mbili hela hakuna kabisaaaa
.
#YNWA
Wewe ni taahira mwenye stress,sitokupa air time yangu naona unataka niwe nakusaidia kupunguza stress zako.Hivi ewe shoga huna KAZI ya kufanya umepakatwa TU Kila sku inatengenezwa thread unachoongea ujinga mtupu uliona wapi sehemu mnalima mnajaza mazao ndani halafu paendelee? Maana biashara ni doro jitahid uje walau morogoro Ulime uone usafirishaji upo leta dar,mwanza,Arusha na dodoma au singida,,,
Ndo roho zao wanaroho mbaya na chuki Kwa Mikoa iliyoendelea ad wanaume wanawivu kama wanawake,, mm niliomba uhamisho nikarudi zangu maana ukabila sana umetaradadi na ubishi wa kijinga Ndo WANAPENDA tena kama SIO mzawa wa mbeya ukija na plan ya mji wanakataa ila akiinuka boya MMOJA akasema Hoja mlenda wanakubaliNa Lile gonjwa la umeme pia limetaradadi Mbeya, pia wanawake wa kinyakyusa wachapakazi sana na wana sifa ya kuwatanguliza kwa Israeli waume sijui ni chai au laah! Kuna mtaa kama sikosei unaitwa londa meta kule wenyeji watanisahihisha jina la mtaa, mtaa mzima wamebaki wajane kina mama sababu wengine wanasema ndio hiyo.
Kat yangu na ew nani tahira,,ungekuwa uko timamu kiakili na mawazo isingekuwa Kila sku unapost ujinga wako Ili tuone na kujua how stupid u'reWewe ni taahira mwenye stress,sitokupa air time yangu naona unataka niwe nakusaidia kupunguza stress zako.
Hyo sehemu huwa naipenda sana view yake nikiwa naenda mitaa hyo..any way Mbeya tutakuja sanaaa
Hii speed ya uandikaji si mchezo hahahahMbeyq haina mzunguko wa hela. Watu wengi wanalima na kuwa na chakula kupelekea mzunguko mdogo wa hela.
Mbeya wanajenga holela kupelekea mji kuwa kama kijiji kikubwa.
Mbeta imeshindwa hata na shinyanyanfa kwa moango mji.
Wasafa kana wazaramu wanauza mpaka harabara.
Zaidi ya misosi mbeya hakuna la maana. Naishi mbeya si mzaliwa.
Hela za madini sijui zinaendaga wapi hazionekani tofauti na mwanza., unaona kabisa jinsi pesa za madini zinavyochangamsha mji.
Mbalali along the main road zaidi ya miaka 15+ pako vilevile hakuna mabadriko ya maana kama njombe along the maiin road.
Rungwe imejitaijidi sana.
Siongei ushabiki nimetembea zaidi ya mikoa 10.
Dodona sasa hivi kiujenzi opo vizuri ila sijajua mzungiko wa pesa.
Kinachoiangusha mbeya wakulina wanauza mazao bei chini sana na kuishia kuwanufaisha wafanyabuashara wa mikoani.
Ukimwi uko Kila sehemu Sasa nenda peku peku huko huko uliko uone moto.Na Lile gonjwa la umeme pia limetaradadi Mbeya, pia wanawake wa kinyakyusa wachapakazi sana na wana sifa ya kuwatanguliza kwa Israeli waume sijui ni chai au laah! Kuna mtaa kama sikosei unaitwa londa meta kule wenyeji watanisahihisha jina la mtaa, mtaa mzima wamebaki wajane kina mama sababu wengine wanasema ndio hiyo.
Pole zako Kwa nini usielewe Jiji bwasheeSijawahi kuielewa Mbeya au Iringa Mjini.
Nafanya biashara zangu Tunduma, Makambako, na Mafinga na sijawahi kuielewa Mbeya wala Iringa mjini.
Hiz sehemu mbili hela hakuna kabisaaaa
.
#YNWA
Hii tabia ya ukabila kazini inawezekana imeota mizizi Mbeya Kuna colleagues mwenzangu aliajiriwa huko alikua ananiambia simuamini nasikia wanaongea kinyaki mpaka ofisini wanasemavibaya wenzao na ukipata tatizo kazini wanafurahia laivu na kazi za field zenye malipo wanaitana wao kwa wao mgeni huna nafasi, sikuwahi muelewa nilijua yeye labda anashida kumbe alikua anasema ukweli.Ndo roho zao wanaroho mbaya na chuki Kwa Mikoa iliyoendelea ad wanaume wanawivu kama wanawake,, mm niliomba uhamisho nikarudi zangu maana ukabila sana umetaradadi na ubishi wa kijinga Ndo WANAPENDA tena kama SIO mzawa wa mbeya ukija na plan ya mji wanakataa ila akiinuka boya MMOJA akasema Hoja mlenda wanakubali
Kiufupi watu wa mbeya ni wambeya kama jina lao
Kwani kuongea kinyaki Kuna shida gani? Mkoa gani hawaongei lugha Yao Ofisini?Hii tabia ya ukabila kazini inawezekana imeota mizizi Mbeya Kuna colleagues mwenzangu aliajiriwa huko alikua ananiambia simuamini nasikia wanaongea kinyaki mpaka ofisini wanasemavibaya wenzao na ukipata tatizo kazini wanafurahia laivu na kazi za field zenye malipo wanaitana wao kwa wao mgeni huna nafasi, sikuwahi muelewa nilijua yeye labda anashida kumbe alikua anasema ukweli.
Umezidiana nahuo mkoa ndio mnaongoza Tanzania mashirika ya ukimwi mengi sana huko Mbeya sio kwa ubaya ila takwim zinaongea.Ukimwi uko Kila sehemu Sasa nenda peku peku huko huko uliko uone moto.
Una rangi na tabia halisi za kisafwa we sio mnyaki ila msafwa usilolijua watu wanaijua zaidi hiyo Mbeya kuliko ulicho elezea hapo.Kwani kuongea kinyaki Kuna shida gani? Mkoa gani hawaongei lugha Yao Ofisini?
Haters bwana mna shida
Karibu tena MbeyaUna rangi na tabia halisi za kisafwa we sio mnyaki ila msafwa usilolijua watu wanaijua zaidi hiyo Mbeya kuliko ulicho elezea hapo.
Nyumba za matope hadi katikati ya jiji.Huu mji umechoka inabidi uvunjwe ujengwe upya. Ni mji mkubwa ila sio mzuri kimpangolio ispokuwa sehemu kadhaa.
Mbeya ingepangwa mji ungekuwa mzuri no 1.
Geographically ni no1.
Mwanza itaendelea kuiacha Mbeya daima kwa sababu Mbeya wanaendelea kujenga holela sasa sijii kwa nini serikali haingilii kati na kuzuia kujenga holela.
Wanyakyusa na ndugu zao wasafwa hawazingatii mpango mji japo ni watu wanaojenga sana pengine kuliko makabila mengi.