Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Nimemshangaa Sana.

Mbarali ipi anayoisema?

Mbarali yenye Ubaruku, Rujewa, Igawa, Chimala , Igurusi , Mswiswi?

Mbarali kwenye mpunga na madili ya Petrol na diesel?
Achana nao Mkuu,hao ni wale haters wanaosimuliana ujinga vijiweni.

Kwa mapato baada ya Jiji la Mbeya,next ni Mbarali DC.
 
Ndo roho zao wanaroho mbaya na chuki Kwa Mikoa iliyoendelea ad wanaume wanawivu kama wanawake,, mm niliomba uhamisho nikarudi zangu maana ukabila sana umetaradadi na ubishi wa kijinga Ndo WANAPENDA tena kama SIO mzawa wa mbeya ukija na plan ya mji wanakataa ila akiinuka boya MMOJA akasema Hoja mlenda wanakubali

Kiufupi watu wa mbeya ni wambeya kama jina lao
Wewe ni wa ajabu,, Mbeya ni miongoni mwa Mikoa inayopendwa Sana na watumishi
 
Ukabila mno yaan mnakaa vikao mnapanga namna makazi yapaswa yapangiliwe halafu wanaongea kinafiki et huyu ni mzaliwa wa wapi wakijua sio mbeya yaani hawakubali wanaanza chokochoko za hapa na pale na hii imepelekea at mji wao kuwa wa hovyo Tanzania nzima uchafu Kila upande,,hawasikii kipind sugu yupo at mkiwambia mipango ya kujenga hawataki kuelewa wanaandamana ovyo kutetea ujinga wanaotaka wao
Now wameamka wanataka huduma Bora...
Wewe kwenu wapi
 
Tanzania napatikana
Wewe unaonekana NI msukuma,, ukabila upo kwenye damu ya msukuma ndio maana Una chuki Sana na watu wa Mbeya ambao ni wasomi , wanajitambua na Wana maisha mazuri.

Zaid ya kukazania mji kutopangwa mmeizid nin kingine Mbeya?

Mnaanza kusema Mbeya hakuna hela , hiv mna akili nyie? Mbeya matajir Hadi vijijin
 
Maisha Gani mazuri Kwa mfano waliyonayo usichekeshe
 
Kuna mahali kuna baridi kuliko Mufindi, Makambako, Katesh, Ilboru, Marangu?, mbona wale sio wamama huruma?.
P
Nafikiri muunganiko wa hali nzuri ya hewa na gharama ndogo za maisha vinafanya mwanamke yeyote yule anayeishi Mbeya, awe mwenyeji au mgeni kutokuwa "mchoyo".
Hata wanyama huzaliana sana mahala penye amani na chakula kingi.
Kwako ndugu Pascal Mayalla
 
Pascal Mayalla ni mnafiki. Nchi hii hakuna wanawake Malaya Kama wanawake wa Kanda ya ziwa
 
Yote tisa kumi Mbeya kuna misosi bei chee huwezi konda Mbeya kwa maisha yetu sisi wasakatonge na watafutaji.
Ndio maana Mbeya hamna Utapiamlo wala Udumavu kwa watoto uliokithiri kama Rukwa,misosi ni mingi mno iwe jamii ya mizizi, mbogamboga, matunda kibao mengi na bei chee,maji mazuri hayapaushi iwe nguo au mwili,nyama za kiwango sijui Ng'ombe wao wanakula nini wale jamaa.
Ardhi ya mkoa ule umebarikiwa kiukweli. Nitarudi Mbeya
 
Back
Top Bottom