Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Mbeya ni mkoa wa tatu ukitoka iringa, njombe inafuata mbeya kwa kuwa na watoto na watu wenye udumavu na unyafuzi na viribatumbo na kwarshiokor.
 
Uhindini kuna nini na uyole kuna nini labda unahitaji kipi zaidi kwenye maeneo mengine tukuambie
Huko ulikotaja kunaongoza kwa maslum na vichochoro vyenye matope na mabanda ya nguruwe.
 
Mbeya ndio anazalisha Watumishi wa bwana,nyie wa kuja mtatuambia kipi hasa?
Ukiona kuna watumishi na wachungaji wengi ujue huko hamna kazi ya kufanya, pia wachungaji wengi ni kielelezo cha sehemu husik kuwa na wachawi wengi na nguvu za kishirikina.
 
Ukiona kuna watumishi na wachungaji wengi ujue huko hamna kazi ya kufanya, pia wachungaji wengi ni kielelezo cha sehemu husik kuwa na wachawi wengi na nguvu za kishirikina.
Tungekuwa hatufanyi kazi Kwa nini Mbeya ni ya 3 Kwa Uchumi Tanzania?
 
Just imagine chips jero,mahindi debe moja 3000, Sasa wataendeleaje na Nan mfanyabiashara mjinga afanye mbeya,,,hko patabaki kuwa mashamba ya nchi TU
 
Just imagine chips jero,mahindi debe moja 3000, Sasa wataendeleaje na Nan mfanyabiashara mjinga afanye mbeya,,,hko patabaki kuwa mashamba ya nchi TU
Huko wanaenda wale watumishi wenye vichwa vilivyo lala.
 
Boya wewe usinichoshe endelea kutafuniwa na Kansa huko kwenu.
Hiyo kansa imeacha kumtafuna babu na bibi yangu, endeleeni kueneza chuki na hazitawafikisha popote, wajinga tu ndio wakubali kuishi huko mashambani na mavumbini, huko ni kuja kuexplore resources zenu na kwenda kupiga biashara sehemu makini na zenye mzunguko wa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…